Arusha halisi ilivyo na watu wake

Punga sana wewe bado upo na uccm wako wa ubaguzi na udikteta wa kishamba.
acha utoto wa kiarachuga jibu km Great Thinker wa JF
unamwitaje mwenzako Punga wakati kakupa ukweli?
kma Lowassa mlimbeba kwa ajili ya pesa na maandamano kila miaka ndio kusema watu wa Arusha si wabaguzi na udikteta, kwa sasa msahau kabisa kuingia Ikulu, Wanaume wa Aruusha fanyeni kazi msiwategemee kina mama
 
Hatupataki ikulu wala
 
No 10 umedanganya.mkoa wa pili baada ya Dar es salam ni Mwanza
 
Soma kwa nguvu uelewe amesema Mbuga ya Serengeti iko karibu na mji wa Arusha wacha kukurupuka😎
 

Acha kuongeza chumvi, au wewe ni mkimbizi?

Serengeti inapatikana Mkoa wa Mara
Mount kilianjaro inapatikana Moshi

Eti half london 🤣🤣🤣🤣

Mikoa mizuri yenye kuvutia ni pamoja na kuishi.
1 Mwanza
2 Dar
3 Mbeya


Arusha=sio wastaarabu, ushamba,wizi na ujambazi kila kona.
 
We ndo boya serengeti imeingia mikoa minne

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…