the reformer
Senior Member
- Dec 15, 2014
- 195
- 68
Mpuuz Sana.. tatizo fangasi zimewajaa vichwani...na hyo team yako...badala ya kujivunia utaifa wako unaleta issue za ukabila wenu hapa.. ..mapepo kimasai yata wamaliza.. bulal fool!!Vipi umeshaacha kulala na maza ako?
Makondakta kakataa kuwafollow kama nyie hvyo nakupuuza tu
Huyu jamaa tokea kitambo namuonaga na post zake za ubaguzi juu ya watu waishio kaskazini.Mkuu huyu ni hopeless nimeshamsoma atakua ana msongo wa mawazo, nilikua sijui kumbe mtu kusifia kwao ni dhambi, nadhani hiyo pia ingekua strategy nzuri kwani viongozi wetu wangeamka na kuhakikisha kila mkoa unakua na maendeleo, sasa huyu anatema tu pumba hana point zozote
Mbona hujanijibu sasa swali nililokuuliza?Mpuuz Sana.. tatizo fangasi zimewajaa vichwani...na hyo team yako...badala ya kujivunia utaifa wako unaleta issue za ukabila wenu hapa.. ..mapepo kimasai yata wamaliza.. bulal fool!!
We nyani kama huwez ona kundu lako.. nenda kale cha arusha.. na mirungi halafu kesho uamkie kwenye banana..Nilimuuliza huyo mwenzako hivi mume wako akiamua kukusifia kuwa wewe ni mrembo na unavutia alafu mimi ninune kwanini amekusifia, hivi kweli akili yangu itakua inafanya kazi sawasawa? Naomba nioneshe ukabila hapo
Yah man..ni TGT, ni kwere la babu!TGT pale ni laana, hakuna kama hiyo nadhani EAST AFRICA nzima.
Ni mpuuzi sana huyu mtu na wala hajui analoliongelea inaonekana ana chuki ya kweli na watu wa Arusha na hiyo ameionesha dhahiri, itakua hatari sana maana anaweza akaiapply chuki ata kwenye maisha ya kawaida pindi atakapokutana na watu wa kaskaziniHuyu jamaa tokea kitambo namuonaga na post zake za ubaguzi juu ya watu waishio kaskazini.
Lakini cha ajabu thread za Mwanza, Mbeya au Dar zikiletwa humu hazizungumzii hovyo.. ila ngoja aone sasa thread inayozungumzia kaskazini.. atakuja huyo kiharisha vibayaa sanaa nashindwa kulielewa hili jitu ni la wapi
Wewe zuzu.. acha tuchanganyia habar ..pumbavu acha ukabilaMbona hujanijibu sasa swali nililokuuliza?
Kama unawashwa sana na hii thread kalia misumari yenye moto ili hamu yako iishe
Hahahaaaa madwanzi hawaamini kama ni chuga hapahapa bongo..wanajua ni mbele😀😀Man mbona zimewekwa kuanzia page ya kwanza japo sio zote Arusha hotels zipo mingi tukiweka zote jf itacollapse [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hao ndo wale Makonda amesema tuwa unfollow hata msimjibu!! Ni REE ka maree wengine... Ni chuki na husda unamsumbuaNi mpuuzi sana huyu mtu na wala hajui analoliongelea inaonekana ana chuki ya kweli na watu wa Arusha na hiyo ameionesha dhahiri, itakua hatari sana maana anaweza akaiapply chuki ata kwenye maisha ya kawaida pindi atakapokutana na watu wa kaskazini
hahaha jibu swali wewe au hujaliona? mpuuzi weweWe nyani kama huwez ona kundu lako.. nenda kale cha arusha.. na mirungi halafu kesho uamkie kwenye banana..
Wee ni muongo sana ,unasifia kwenu mpaka unapitiliza na vya wenzenu unafanya vya kwenu hapo namba 4 umeitaja mbuga ya serengeti kwamba ipo Arusha ni uongo, Serengeti haipo Arusha, Serengeti ipo mkoa wa Mara,sema tu watalii wengi hupenda kuanzia safari ya kwenda huko kwa kutokea Arusha.
Pilipili usiyoila inakuwashia nini?Wewe zuzu.. acha tuchanganyia habar ..pumbavu acha ukabila
Ni kweli arif .. ni chuki na wivu ndo unawasumbua hawa makuzi... ngoja niwapotezeeHao ndo wale Makonda amesema tuwa unfollow hata msimjibu!! Ni REE ka maree wengine... Ni chuki na husda unamsumbua
Nenda pale shivaz musela wako anakusubir hapo,, :hahaha jibu swali wewe au hujaliona? mpuuzi wewe
Pilipili usiyoila inakuwashia nini?
Vipi unataka nkutolee mahari wewe pamoja na ma.za ako?
Maana naona mbunye inawaka moto sasa unataka usuguliwe
Nenda pale shivaz musela wako anakusubir hapo,, :
Hahahahhh..Kama hujapata msela wa kukukuna mpk muda huu basi basi tumia rungu la wamasai maana inaonekana unawazimikia kinoma