Nimezaliwa Tanzania kijana, mambo ya kuuliza watu mikoa waliyozaliwa kaulize wakenya ndio wanaubaguzi kama mnavyowaiga ninyi watu wa arusha.Duh we dada adi unatia huruma, kisa umeskia huku kuna mabilionea ndio unajipitisha kila muda hahaha. Swali la kizushi hivi wewe umetokea mkoa gani naomba unijibu kwa uaminifu ili tuendelee mbele.
Mnafu upo mkuu tena usiombe uupate uliochanganywa na kuku wa kienyeji na ugali inakua fulu ile laana. Usisahau kunijibu mkoa ulikozaliwa mkuu wangu
aah wapi we duanzi huwezi nyoosha mtu humu acha kujifurahisha, na unavyojisaidia hivi humu ndio unaona kuwa unanyoosha raia? hahahahaUnaifaham presha wewe ngariba kama jina lako lilivyo.
Mnakeketana hadi leo huko maporini arusha na mila zenu chafu za ukeketaji halafu mnaleta story zenu za kitoto za kibaguzi hapa JF.
Mtanyooka tu.
Huko kijijini arusha kuna kitu gani cha ajabu hadi mtu aone wivu.Huyo ni wivu tu unamsumbua achaneni nae me nipo Mwanza lakini Arusha ni level nyingine na ninapapenda Arusha sana sababu naweza kujenga na kuishi vilevile na huo ubaguzi labda kauona yeye watu wa kaskazini wachapa kazi sana majungu na umbea hawana.
Na ninadhani ndio kitu walipotofautiana sababu huyu anaonekana ana majungu mno sijui ni wa kiume?
I [emoji173] Tanzania wote wamoja.
Mtanyooka tuPovu la nini? Sio lazima kusoma.
Wewe kweli huna akili sawasawa juzi ulikua bize unapost picha za Dar na Mwanza alafu anasema huna ubaguzi, kama ungekua na akili nzuri ungeweka picha za tz nzima ili uoneshe utaifa unaodai unao... alafu hao wakenya unaosema wamedominate Arusha ni kina nani hao? Ebu nitajie kampuni 10 zinazomilikiwa na wakenya unaowang'ang'ania kuwataja hapa kila post ***** uliyekosa soko weweNimezaliwa Tanzania kijana, mambo ya kuuliza watu mikoa waliyozaliwa kaulize wakenya ndio wanaubaguzi kama mnavyowaiga ninyi watu wa arusha.
Wakenya wamechukua fursa zote muhim hapo arusha na nyie mnashangaa tu.
mnawaacha wenzenu masai maporini huko arusha wakiangaika,
badala ya kuwaelimisha masai mshirikiane kuujenga mkoa wenu, halafu ninyi washamba wa arusha mnatuletea story za kitoto hapa JF, tena story za kibaguzi na ukanda.
Me sio wa kaskazini na ninakukanya acha kuhubiri ubaguzi hii ni mbegu mbaya sana unaipanda ujue hii ni platform kubwa sasa ukiulizwa umebaguliwaje unacho cha kusema nimeishi Arusha lakini sijauona huo ubaguzi kwani Arusha hawaishi wa makabila tofauti?Huko kijijini arusha kuna kitu gani cha ajabu hadi mtu aone wivu.
Tunawaelimisha muache ubaguzi na ukanda kwa story zenu za kitoto.
Sasa nikupe homework wewe ngedere.. si umeona picha threader alizozionesha hapa kuelezea uzuri wa jiji la Arusha? je? unakubali ni kweli zinapatikana Arusha? sasa kama wewe ni mzalendo anza kutupia za tz nzima kutoa Dar na Mwanza maana juzi ulishatuonesha, sasa leo endelea na mikoa mingine, ukimaliza kuna swali nitakuuliza kutokana na statements zako eti ARUSHA NI KIJIJINIHuko kijijini arusha kuna kitu gani cha ajabu hadi mtu aone wivu.
Tunawaelimisha muache ubaguzi na ukanda kwa story zenu za kitoto.
Huyo jamaa ametoroka mirembe...arusha hapajawahi kuwa na ubaguzi...!Me sio wa kaskazini na ninakukanya acha kuhubiri ubaguzi hii ni mbegu mbaya sana unaipanda ujue hii ni platform kubwa sasa ukiulizwa umebaguliwaje unacho cha kusema nimeishi Arusha lakini sijauona huo ubaguzi kwani Arusha hawaishi wa makabila tofauti?
Ndugu zangu wameoa na kuolewa huko na huo ubaguzi sijauona nakukanya tena stop that nonsense hata Rwanda ilianza hivihivi kwenye platform kama hizi sio vizuri kabisa.
I [emoji173] Tanzania wote wamoja.
Hapa umegusa penyewe.. hutamuona tena au akija atakuja kumwaga pofu kisadoSasa nikupe homework wewe ngedere.. si umeona picha threader alizozionesha hapa kuelezea uzuri wa jiji la Arusha? je? unakubali ni kweli zinapatikana Arusha? sasa kama wewe ni mzalendo anza kutupia za tz nzima kutoa Dar na Mwanza maana juzi ulishatuonesha, sasa leo endelea na mikoa mingine, ukimaliza kuna swali nitakuuliza kutokana na statements zako eti ARUSHA NI KIJIJINI
Hapa umegusa penyewe.. hutamuona tena au akija atakuja kumwaga pofu kisadoSasa nikupe homework wewe ngedere.. si umeona picha threader alizozionesha hapa kuelezea uzuri wa jiji la Arusha? je? unakubali ni kweli zinapatikana Arusha? sasa kama wewe ni mzalendo anza kutupia za tz nzima kutoa Dar na Mwanza maana juzi ulishatuonesha, sasa leo endelea na mikoa mingine, ukimaliza kuna swali nitakuuliza kutokana na statements zako eti ARUSHA NI KIJIJINI
Huyu kijana anaweza kudhani ni something funny anasema lakini kina mathara makubwa sana hasa anapokitaja mara kwa mara wapo watu ambao hawajawahi kufika huko Arusha sasa wanapopata hii experience wanatengeneza picture fulani mbaya sana.Huyo jamaa ametoroka mirembe...arusha hapajawahi kuwa na ubaguzi...!
We pimbi acha kuchochea ukabila.. Taifa Kwanza!!Hapa umegusa penyewe.. hutamuona tena au akija atakuja kumwaga pofu kisado
Mkuu huyu ni hopeless nimeshamsoma atakua ana msongo wa mawazo, nilikua sijui kumbe mtu kusifia kwao ni dhambi, nadhani hiyo pia ingekua strategy nzuri kwani viongozi wetu wangeamka na kuhakikisha kila mkoa unakua na maendeleo, sasa huyu anatema tu pumba hana point zozoteHapa umegusa penyewe.. hutamuona tena au akija atakuja kumwaga pofu kisado
Vipi umeshaacha kulala na maza ako?We pimbi acha kuchochea ukabila.. Taifa Kwanza!!
Vipi umeshaacha kulala na maza ako?We pimbi acha kuchochea ukabila.. Taifa Kwanza!!
Huyo ni mpumbavu na jibu zuri la mpumbavu ni kumpuuza upo sahihi kabisa.Vipi umeshaacha kulala na maza ako?
Makondakta kakataa kuwafollow kama nyie hvyo nakupuuza tu
Hivi kati ya wewe a sisi ni nani ni mbaguzi?Huko kijijini arusha kuna kitu gani cha ajabu hadi mtu aone wivu.
Tunawaelimisha muache ubaguzi na ukanda kwa story zenu za kitoto.
Hii hotel ndimo alimofikia tajiri wa chelsea,alipokuwa amekuja kupanda mlima kilmanjaro mwaka juzi.Inatosha baba,utawaua mahaterz!Rivertrees Country Inn (Arusha, Tanzania)
Nilimuuliza huyo mwenzako hivi mume wako akiamua kukusifia kuwa wewe ni mrembo na unavutia alafu mimi ninune kwanini amekusifia, hivi kweli akili yangu itakua inafanya kazi sawasawa? Naomba nioneshe ukabila hapoWe pimbi acha kuchochea ukabila.. Taifa Kwanza!!