Mwezi uliopita nilikuwa Chuga. Nikaingia club moja maarufu, nipo kaunta namwona jamaa amebeba mkoba wa demu, eti amemnunulia pombe akimwachia mkoba atamkimbia.
Nikamuuliza muhudumu, hivi tabia kama hizo bado zipo tu karne hii!!
Usemayo ni kwel bt arusha kumekaa kitalii, panapo majaliwa nategemea jenga kwenye plot yangu huko my holiday house, nilikuwa huko Dec last year and I enjoyed a lot