Watu wa Arusha wanaelewana wenyewe kwa wenyewe kama simba wanavyo gombania nyama waliyo kamata, wanakula kwa kuraruana. Nyama ikisha basi wanarambana rambana kujiandaa kwa mawindo mengine. Simba hana ukarimu au ustaarabu na mnyama yeyote, hata wenyewe kwa wenyewe kwenye msosi ni shida. Hao simba ndiyo watu wa Arusha!Nazani unaiongelea Zanzibar kwa Arusha big NO! Nakubali chache hazikosekani na labda bahati yako mbaya ukawa unatembelea hizo sehemu zenye huduma mbaya..
Lakin Arusha ni sehemu yenye huduma nzuri, wachakarikaji wengi, ushindani ni mkubwa wa biashara.So kila mtu anajitahidi kutoa huduma bora ili kuwavutia wateja wengi.
Pia sehem nzuri zenye huduma na bidhaa bora zinajulikana usijiendee tu sehem ni sehem.ova
Nchi zilizoendelea kubadirisha kitu ulonunua ni kawaida kabisa bora uwe na rist kwetu hata kama bado uko dukani kama umelipa hauwezi kurudishiwa ina frustrate tuna utamaduni mbovu na kuna jamaa yangu alinunua vitu dukani kaviacha alipovirudia wakamruka mara nyingi hatuwezi kulaumu jamii yetu kwani huwa nadhani inatokana na level ya ustaarabu kwani bado tuna ka mwendo.safi sana. niliona pia clip moja ya mchina alienda kubadilisha simu yake ya iphone kwasabb ilileta hitilafu muuzaji akamzinguaaaaa
jamaa akawaambia kurudisha simu hapa haimaanishi sinauwezo wa kununua nyingine. Akasepa baadae akarudi na burungutu la hela akanunua simu zote mle na pesa ikabaki alicho fanya simu alizo nunua akazivunja palepale na nyundo aliokuja nayo meza zote za kioo za kuuzia simu akavunja vunja na kulikua na desktop ya mac
nayo ikala nyundo kisha akawaachia pesa akaoanda zake kwenye gari la kifahari akaondoka
mbona wana tabia kama za warundi ...mrundi akija kwako kutembea ama kuishi zile huduma muhimu unazompatia ..yeye hachukulii kama msaada anachukulia kuwa nihaki yake kuweza kupata hzo huduma toka kwako"" na siku ikitokea ukashindwa kumtimizia ...nilazma akuone kuwa wewe nimbaya""akienda dukani kufnya mahitaji kauli anayoitumia ni NIPE ...anakwambia Kiowa hawezi kusema naomba wakati pesa niyake ....then baada ya kumpatia huduma sahau kabisaa kuhusu kuambiwa neno asante """ so sijui kama huwa wanakumbuka kutoa asante kwa wenzao pindi wanapokuwaga faragha nao kitandani wanapomaliza kufanya lile tendo pendwaArusha ni pesa tu ndio muhimu, huwa wananishangaa nikienda dukani nikimaliza kununua nasema ahsante, unaonekana muungwana kuliko, karibu kwa huku sahau hata huende hotel kubwa kwanza hizo kubwa nyingi ni self service hata salamu ya muhudumu hutoipata labda wewe uamue kuweka ukaribu nae, hata ile sijui punguzo dukani Arusha hii wewr mteja ndio ujishushe uonekana kweli hela huna ndio bei ishuke sio muuzaji hili jiji hili halina maana kabisa, endelea kukaa zaidi utaona mengi sana huo utangulizi tu haaaa haaa
Kipindi cha Kwayu.....Mkuu umenikumbushia mbali, Ilboru ulimaliza mwaka gani?
Kipindi cha Kwayu.....Mkuu umenikumbushia mbali, Ilboru ulimaliza mwaka gani?
Siyo ubabukubwa tu, ulimbukeni na malezi mabovu pia. Ustaarabu unafundishwa, na kama hukufundishwa ustaarabu huwezi kuwa mstaarabu. Kama umelelewa katika mazoea ya kujisaidia porini ukiona choo hutoelewa ni kwa ajili ya nini!Tatizo ni la watu wa kaskazini kujifanya babkubwa, Nimehamia Dom nikakuta mgahawa mzuri unaitwa Chief Asili ila kilichoniboa ni wale vijana wahudumu unaingia pale utakaa hata dakika tano hakuna aliyekuja kukusikiliza siku ya pili nikaona isiwe tabu nikapata chimbo jipya Destination
Yani huu uzi umenitia hasira hapa nipo Kikatiti naingia Arusha naenda kukutana na wale wadada wanaojidai nao wanaumeSiyo ubabukubwa tu, ulimbukeni na malezi mabovu pia. Ustaarabu unafundishwa, na kama hukufundishwa ustaarabu huwezi kuwa mstaarabu. Kama umelelewa katika mazoea ya kujisaidia porini ukiona choo hutoelewa ni kwa ajili ya nini!
Kuna mtu alizoea vyoo vya shimo, basi alipoenda sehemu yenye choo cha kukaa akapanda juu kuchuchuma kutokana na kutoelewa. Kwahiyo, kumbadilisha mtu wa kaskazini ingawa siyo wote, lazima kumleta Dar kwa wastaarabu.
Chunga sana hao jamaa makatili kama wakenya.Yani huu uzi umenitia hasira hapa nipo Kikatiti naingia Arusha naenda kukutana na wale wadada wanaojidai nao wanaume
wahehe wa kiburi & dharauUmenitangulia kaka.Nilitaka kumwambia aje Iringa akutane na kuburi cha wahehe.Umeenda dukani na 10,000/= unataka kitu cha 4,000/= utamsikia muuzaji anakujibu bee hugo guchenji mi sina jiendeage tu.
mkuu umepiga mle mle... ulimbukeni& malezi mabovu.Siyo ubabukubwa tu, ulimbukeni na malezi mabovu pia. Ustaarabu unafundishwa, na kama hukufundishwa ustaarabu huwezi kuwa mstaarabu. Kama umelelewa katika mazoea ya kujisaidia porini ukiona choo hutoelewa ni kwa ajili ya nini!
Kuna mtu alizoea vyoo vya shimo, basi alipoenda sehemu yenye choo cha kukaa akapanda juu kuchuchuma kutokana na kutoelewa. Kwahiyo, kumbadilisha mtu wa kaskazini ingawa siyo wote, lazima kumleta Dar kwa wastaarabu.
Umenitangulia kaka.Nilitaka kumwambia aje Iringa akutane na kuburi cha wahehe.Umeenda dukani na 10,000/= unataka kitu cha 4,000/= utamsikia muuzaji anakujibu bee hugo guchenji mi sina jiendeage tu.
ahaa, mwenyewe nimesoma pale kipindi cha Kitemango , kisha akaja Kwayu, kisha akaja jemedari Mutabuzi, miaka 6 nimepiga paleKipindi cha Kwayu.....
Kuna siku nataka kutoa 250,000/=Tigopesa mhudumu wa kihehe ananiambia bee utakuwa gujambazi tu wanaotoaga pesa nyingi ndio wanaotuibia...Na aligoma kweli kunihudumia...hahaha Iringa noma
Haya bana, vijana wa Brotherhoodahaa, mwenyewe nimesoma pale kipindi cha Kitemango , kisha akaja Kwayu, kisha akaja jemedari Mutabuzi, miaka 6 nimepiga pale
Ulimaliza mwaka gani mkuu, inawezekana ulikuwa classmate,Haya bana, vijana wa Brotherhood
Huu ni uongo.... btw nimecheka kwa sauti.Kuna siku nataka kutoa 250,000/=Tigopesa mhudumu wa kihehe ananiambia bee utakuwa gujambazi tu wanaotoaga pesa nyingi ndio wanaotuibia...Na aligoma kweli kunihudumia...
Sasa we usiyeamini njoo hospitali ya mkoa Iringa ukatoe hela pale kwenye kontena jeupe opposite na geti la kuingulia hospitali naona utaamini..Huu ni uongo.... btw nimecheka kwa sauti.
Siyo Arusha siyo Dar! Tanzania yote cumstumer care ni mbovu sana. Mtu anakuhudumia huku anazungumza kwenye simu na mpenzi wake. Jaribu kusafiri uende Europe au Amerika (kama hujawahi) ndiyo utajua namaanisha nini.Habarini wana wa nchi wenzangu...
Naomba leo nishee jambo kidogo kuhusu hili jiji la Arusha.