ACHENI uchochezi, mwawezaliingiza taifa ktk janga kubwa, Waislam hawana shida na wakristo. acheni uchunguzi ukamilike ndo muongee. kwani yaweza bainika kuwa wakristo haohao ndo wahusika. uchunguzi wa awali umeonyesha muhusika ni mkiristo AMBROSE. NA ukifuatilia maelezo yote toka mwanzo unaona niyakupika ambayo hayaeleweki,. mara mshambuliaji alivaa kanzu akapita kwa nyuma akarusha kwa mkono wa kulia akakimbia huku anaita mwizi mwizi., mara alikuwa ktk pikipki akarusha na kukimbia ,. mara walikuwa ktk gari, mara watu walimuona mrushaji mara mtoto ndiye alimuona. AU VIPI MSHAMBULIAJI AVAE KANZU NDIO AENDE KTK TUKIO LA KUDHURU ? BAdo inatia shaka kama mshambuliaji ambrosi alirusha akakimbia kwa kusema mwizimwizi kisha akarudi tena watu baadae wamepata fahamu ndo wakamkamata ?:fish2::A S confused::A S confused: akili changanya na zako