Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,138
Ni upotoshaji mkubwa kuanzia kudhani kuwa shambulio la Arusha lililenga ukristo au ukatoliki. Tukianzia hapo tutapotoshwa na kuchochewa. Wakatoliki,kama wanadhehebu,hatuna adui. Makosa ya jinai hayahitaji dini wala dhehebu. Uchunguzi uwe huru bila kufungamanisha dini yoyote. Wasakwe wahusika si dini wala udini...