Very true.Atakoma, akaishi kwenye ofisi za CCM.
Aliyekuwa Diwani wa CHADEMA Kata ya Leguruki aitwaye Anderson E. Sikawa kabla hajahamia CCM kwa mbwembwe nyingi na matangazo ya kumuunga Magufuli mkono huko Arumeru, amepatwa na janga la kuunguliwa nyumba yake anayoishi na vitu vyake vyote vimeungulia ndani.
Hadi sasa chanzo cha moto huo hakijajulikani kabisa, japo wengi wanasema ni mshahara wa dhambi zake za usaliti.
atamjengea😛😛😛😛😛😛😛😛 nyingine hahahahahaAliyekuwa Diwani wa CHADEMA Kata ya Leguruki aitwaye Anderson E. Sikawa kabla hajahamia CCM kwa mbwembwe nyingi na matangazo ya kumuunga Magufuli mkono huko Arumeru, amepatwa na janga la kuunguliwa nyumba yake anayoishi na vitu vyake vyote vimeungulia ndani.
Hadi sasa chanzo cha moto huo hakijajulikani kabisa, japo wengi wanasema ni mshahara wa dhambi zake za usaliti.
Ulimaanisha kuunguza taifa?Ndo maana wengine wako busy kuunza taifa.
Mbona chanzo kinaonekana kabisa, ningekuwa Mwana usalama ningeanza na weweAliyekuwa Diwani wa CHADEMA Kata ya Leguruki aitwaye Anderson E. Sikawa kabla hajahamia CCM kwa mbwembwe nyingi na matangazo ya kumuunga Magufuli mkono huko Arumeru, amepatwa na janga la kuunguliwa nyumba yake anayoishi na vitu vyake vyote vimeungulia ndani.
Hadi sasa chanzo cha moto huo hakijajulikani kabisa, japo wengi wanasema ni mshahara wa dhambi zake za usaliti.