Arusha dhidi ya Morogoro

Arusha dhidi ya Morogoro

Morogoro kumepangika vizuri kuliko Arusha, ina maana hii moro mji ulipangwa mapema kuliko arusha ambapo mji ulichelewa kupangwa na ndiyo maana mpaka leo bado kuna maboma ya wameru/waarusha hapo mjini badala ya kuwepo mitaa if mianzini, sakina, ngarenaro nk.

Kwa upande wa huduma mikoa yote ina huduma muhimu za kijamii.

Warembo ngoja vijana wenzako watakupa mrejesho [emoji23].
Hahaa acha fix aisee Moro imepangika wapi, mbona maeneo mengi ni uswahilini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaa acha fix aisee Moro imepangika wapi, mbona maeneo mengi ni uswahilini
Pata muda wa kutembelea mikoa hiyo kwa sehemu za mjini kisha sogea upande wa pili wa barabara.

Mfano; Ukishuka msamvu tafuta chocho lolote ingia utokee upande wa pili uone ni uswahilini kusipo na mtaa au ni mtaa uliopangwa.

Pia Chuga fanya hivyo.
 
Back
Top Bottom