Hongereni A town. Kabeni mpakaa pelnat, hao magamba mpaka wakomme
Bangi inawasumbua hawa watu maana huku Arusha lema alali tena nyumbani analala nairobi shine gest house baada ya wanasombetini kumgomea
Akipanda jukwaani hana hoja tena zaidi ya kusema uongo kuwa mwenyekiti wa ccm anakatakata watu hooo mgombea marra mjusi ila zamuhii hatoki
nashukuru katiba mpya inafuta hizi chaguzi ndogo maana ni upotevu wa gharama na muda
zipo kama zilivyoWewe bana akili zako sijui zipoje
Kwa ccm pale, uongozi wa wilaya unatosha sana. Hakuna haja ya uongozi wa taifa kwendaCha kusikitisha zaidi Nape na Kinana hawatii Timu bado wanatafakari walivyodhalilishwa na Mkulu.
CHADEMA ndiyo habari ya mjini......
CCM salini tu sala za mwisho!
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Hali ni mbaya kwa chadema kazi ni kukatakata watu
tulikuwa tunalialia kama watoto wa kike tukiwalalamokia uhuni wa ccm, tuliandamana kwenda kituo kidogo cha bauda kuwaambia polisi wafanye kazi zao ipasavyo hawakutuelewa juzi yule ---- tumemfinya kidogo tu mnalialia, mbona bado tumeshaongeza kikosi vamieni tena ngome yetu kama hamtazika..
Umeolewa?Bangi inawasumbua hawa watu maana huku Arusha lema alali tena nyumbani analala nairobi shine gest house baada ya wanasombetini kumgomea
Akipanda jukwaani hana hoja tena zaidi ya kusema uongo kuwa mwenyekiti wa ccm anakatakata watu hooo mgombea marra mjusi ila zamuhii hatoki
Yote hii inasababishwa na u-jobless wa kujitakia, Kijana umeshafikisha umri wa miaka 18, hutaki kujishughulisha na vitu vya kukuletea maendeleo, wewe kutwa kucha kiguu na njia kufuata mikumbo isiyo na faida kwako. Matokeo yake ndio haya unataka kumuua mtanzania mwenzio kisa ni itikadi za kisiasa. Hii CHADEMA imeharibu vijana wengi sana!