Arusha: CCM waanza kujitoa uchaguzi serikali za mitaa, CHADEMA yapita bila kupingwa mitaa 9

He! Sasa yamekuwa haya tena? Naona mwisho wa safari watachinjana hawa.
ImageUploadedByJamiiForums1418139547.170299.jpg
 
CCM inatia aibu na inasikitisha, jioni hii walikuwa pale Toyota International Motors pembeni ya KCB bank, wamebaki wenyewe wanaongea wenyewe na wale street boys wanaoongozaga parking za magari unawapa kitu kidogo.
Hali ni mbaya
 
Vita hii ya kimya kimya ndo itakayotusaidia kumwondoa huyu panya buku, kwani kelele mingi mbwa hupotea na twende kimya kimya tu tunawaondoa.
 
Ile Operation Delete CCM imeanza kuzaa matunda baada ya wagombea nafasi ya uenyeviti 9 wa ccm kujitoa na watatu kati yao kuomba kujiunga na Chadema.

Wenye viti wa ccm waliotangaza rasmi kujitoa katika kinyang'anyiro hicho cha kugombea ni kutoka :-

Mtaa wa-
Olmatejoo "A"
Olmatejoo "B"
Mama Muasa
Navarana
Melamari
Sakina
Shamsi
My River
Majengo "B"

Hata hivyo leo ni Miaka 53 ya Uhuru wa Tanganyika
Kauli mbiu: jitokeze kuipigia kura ya HAPANA katiba inayopendekezwa.
 
Lema hapepesi macho wala halalamiki kuchezewa rafu na magamba, jino kwa jino jicho kwa jicho
 
Ile Operation Delete CCM imeanza kuzaa matunda baada ya wagombea nafasi ya uenyeviti 9 wa ccm kujitoa na watatu kati yao kuomba kujiunga na Chadema.

Wenye viti wa ccm waliotangaza rasmi kujitoa katika kinyang'anyiro hicho cha kugombea ni kutoka :-

Mtaa wa-
Olmatejoo "A"
Olmatejoo "B"
Mama Muasa
Navarana
Melamari
Sakina
Shamsi
My River
Majengo "B"

Hata hivyo leo ni Miaka 53 ya Uhuru wa Tanganyika
Kauli mbiu: jitokeze kuipigia kura ya HAPANA katiba inayopendekezwa.

Halafu kutoipigia kura katiba ndo iweje?
 
Baada ya ccm kupita bila kupingwa mitaa 6 ndani ya jiji la Arusha leo mkutano wa hadhara kata ya NGARENARO ni kushangilia ushindi tuu
 
Baada ya ccm kupita bila kupingwa mitaa 6 ndani ya jiji la Arusha leo mkutano wa hadhara kata ya NGARENARO ni kushangilia ushindi tuu
mzee unashangilia hospitali kuna dawa,shule kuna madawati ya kutosha, je kuna elimu bora kwa wanafunzi wetu
 
Mitaa 6 unashangilia?
Last time mlipita bila kupingwa mitaa zaidi ya 14.

Sasa hivi mmepita bila kupingwa baada ya kuwawekea mapingamizi wagombea wa vyama vingine bado unashangilia?

Angalia ni downfall ya asilimia ngapi, then uje utuambie mnashangilia ushindi au kuanguka.
 
Back
Top Bottom