Arusha: CCM waanza kujitoa uchaguzi serikali za mitaa, CHADEMA yapita bila kupingwa mitaa 9

Edward Sambai

JF-Expert Member
Nov 16, 2013
2,459
2,000
Ile Operation Delete CCM imeanza kuzaamatunda baada ya wagombea nafasi ya uenyeviti 9 wa ccm kujitoa na watatu kati yao kuomba kujiunga na Chadema.
Wenye viti wa ccm waliotangaza rasmi kujitoa katika kinyang'anyiro hicho cha kugombea ni kutoka :-
Mtaa wa-

 • Olmatejoo "A"
 • Olmatejoo "B"
 • Mama Muasa
 • Navarana
 • Melamari
 • Sakina
 • Shamsi
 • My River
 • Majengo "B"
Sababu kubwa iliyowafanya mpaka waamue kuchukua uamuzi huo ni kushindwa kufanya kampeni za nje na kulalamika kuwa ccm makao makuu inachuki binafsi na mikoa ya Kaskazini hivyo basi timu nzima yaKinana na Nape imezira kuwasaidia ili kumdhoofisha Mbunge wa Munduli katika safari yake ya matumaini. na mjumbe mmoja jina kapuni amenidokeza kuwa kuna mpango maalumu ulioratibiwa na kambi fulani ya wagombea Urahisi ili kuakikisha ukanda anapotokea Mbunge wa Munduli viti vingi vya serikali za mitaa vinaenda upinzani
Kama Wahenga walivyokwisha kusema "Vita vya panzi................................." Mimi binafsi nikiwa Mgombea serikali za mitaa nimefaidika na kujitoa kwa hao wagombea wa ccm.
Hivyo basi, japo kuwa nilikuwa nina 99% za kushinda uchaguzi wenyewe, nitoe shukrani kwa ccm kwa kuniongezea 1% na sasa nimejiakikishia kupita kwa 100%.
 
emkey

JF-Expert Member
Mar 15, 2011
729
195
Hongera.

Hivyo basi, japo kuwa nilikuwa nina 99% za kushinda uchaguzi wenyewe, nitoe shukrani kwa ccm kwa kuniongezea 1% na sasa nimejiakikishia kupita kwa 100%.[/SIZE][/QUOTE]
 
Msingida

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
6,282
2,000
Na bado,sababu zingine hawazitaji ikiwamo kuchafukwa kutokana na Wizi wa fedha za Tegeta Escrow
 
gormahai

Member
Dec 8, 2014
10
0
Hizo ni laana za Rada,Ndege ya Rais,EPA,Deep Green,Kiwira,Buzwagi na Escrow bado sana2 waanze maombolezo ya mazishi ya CCM.
 
Buldoza

JF-Expert Member
May 2, 2013
2,304
1,225
Mzee wa shipadume ndio ajue kwamba wasiotaka ujinga wanamsogeleavtaratibu wam-ghadafi.
 
omujubi

JF-Expert Member
Dec 6, 2011
4,154
2,000
Mwenyekiti bidii yake yote anajenga watu binafsi na mabilionea lakini sio chama, na ndio maana habari kama hizi zinakuwa pigo kwa 'ccm imani' lakini hawa 'ccm maslahi' wanachekea.
Pamoja na yote, pongezi za awali zimwendee Mh. Lema na team yake.
 
Lancanshire

JF-Expert Member
Sep 20, 2014
14,019
2,000
Ukipita kwenye mikutano ya ccm mpaka mtu unaona aibu unakuta watu Kama watano wakiwemo viongozi Wao wa wilaya wanatia huruma. Watu wanapita Kama vile hakuna kinachoendelea
 
Ghosryder

JF-Expert Member
Jul 6, 2014
9,612
2,000
Ile Operation Delete CCM imeanza kuzaamatunda baada ya wagombea nafasi ya uenyeviti 9 wa ccm kujitoa na watatu kati yao kuomba kujiunga na Chadema.
Wenye viti wa ccm waliotangaza rasmi kujitoa katika kinyang'anyiro hicho cha kugombea ni kutoka :-
Mtaa wa-

 • Olmatejoo "A"
 • Olmatejoo "B"
 • Mama Muasa
 • Navarana
 • Melamari
 • Sakina
 • Shamsi
 • My River
 • Majengo "B"
Sababu kubwa iliyowafanya mpaka waamue kuchukua uamuzi huo ni kushindwa kufanya kampeni za nje na kulalamika kuwa ccm makao makuu inachuki binafsi na mikoa ya Kaskazini hivyo basi timu nzima yaKinana na Nape imezira kuwasaidia ili kumdhoofisha Mbunge wa Munduli katika safari yake ya matumaini. na mjumbe mmoja jina kapuni amenidokeza kuwa kuna mpango maalumu ulioratibiwa na kambi fulani ya wagombea Urahisi ili kuakikisha ukanda anapotokea Mbunge wa Munduli viti vingi vya serikali za mitaa vinaenda upinzani
Kama Wahenga walivyokwisha kusema "Vita vya panzi................................." Mimi binafsi nikiwa Mgombea serikali za mitaa nimefaidika na kujitoa kwa hao wagombea wa ccm.
Hivyo basi, japo kuwa nilikuwa nina 99% za kushinda uchaguzi wenyewe, nitoe shukrani kwa ccm kwa kuniongezea 1% na sasa nimejiakikishia kupita kwa 100%.
Weka picha.
 
Brahnman

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
1,716
2,000
Hongera mkuu,hivi kwa wale ambao wako Mtwara hebu watupe feedback ya huko akina the big show hebu tuambieni huko mambo yanaendaje,vp nguvu nguvu ya CUF na UKAWA?
 
Last edited by a moderator:

jebibay

JF-Expert Member
Nov 3, 2012
1,413
1,225
Hongera mkuu !

Hiyo statement ya mwisho nimeipenda sana !

Ile Operation Delete CCM imeanza kuzaamatunda baada ya wagombea nafasi ya uenyeviti 9 wa ccm kujitoa na watatu kati yao kuomba kujiunga na Chadema.
Wenye viti wa ccm waliotangaza rasmi kujitoa katika kinyang'anyiro hicho cha kugombea ni kutoka :-
Mtaa wa-

 • Olmatejoo "A"
 • Olmatejoo "B"
 • Mama Muasa
 • Navarana
 • Melamari
 • Sakina
 • Shamsi
 • My River
 • Majengo "B"
Sababu kubwa iliyowafanya mpaka waamue kuchukua uamuzi huo ni kushindwa kufanya kampeni za nje na kulalamika kuwa ccm makao makuu inachuki binafsi na mikoa ya Kaskazini hivyo basi timu nzima yaKinana na Nape imezira kuwasaidia ili kumdhoofisha Mbunge wa Munduli katika safari yake ya matumaini. na mjumbe mmoja jina kapuni amenidokeza kuwa kuna mpango maalumu ulioratibiwa na kambi fulani ya wagombea Urahisi ili kuakikisha ukanda anapotokea Mbunge wa Munduli viti vingi vya serikali za mitaa vinaenda upinzani
Kama Wahenga walivyokwisha kusema "Vita vya panzi................................." Mimi binafsi nikiwa Mgombea serikali za mitaa nimefaidika na kujitoa kwa hao wagombea wa ccm.
Hivyo basi, japo kuwa nilikuwa nina 99% za kushinda uchaguzi wenyewe, nitoe shukrani kwa ccm kwa kuniongezea 1% na sasa nimejiakikishia kupita kwa 100%.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom