Arusha Baridi

Screenshot_20220623-075819.jpg
 
Mimi nataka wengi...Hata tukionana in groups sawa tu..

We meet at book clubs, coffee shops,bars and restaurants and make stories..It is a good thing pia kubadilishana mawazo..

Badae unazoea with positive people around you
Mmmh una lako jambo
 
Kwa wale wakazi wapya wa Arusha ambao hamjazoea hili baridi kama mimi mnaendeleaje?

It is too cold here jamani mpaka I miss Dar.

Is there any lady here or gentleman that we can have some pretty dates even for coffee or outing tupeane company.
Karibu mkuu
 
Arusha kwa baridi sio mchezo kipindi hiki. Hii mpaka August.
 
Tatizo nyie me ndo mnakuja na nia tofauti...
Ila kutaniko salama linaweza kuwepo na watu wakabaki salama kabisaa
Unakosea sana Nakadori.
Mwanamme mwenye akili na aliyekamilika huwa sio mara zote anawaza ngono.
Mimi nina marafiki wa kike pia tunaheshimiana na urafiki una mipaka.
Ufunue kila sketi ili iweje?
Huo ni ulimbukeni mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom