Amka kanywe chai ufute wenge😂😂Aisee vijana wengi wa Arusha wanakunywa sana visungura, serikali ya CCM imeharibu maisha yao kabisa.
mtoto alimwambia baba tusivuke maji ni mengi haya
Mtu mwenye akili timamu hawezi kumpitisha mtoto wake kwenye hatari. Shule ulienda kusomea ujinga wewe?Sasa hapa serikali inahusikaje,na Una uhakika muhusika ni mlevi?
Au ni kwasababu moyo wako usio na huruma wenye hila na udanganyifu unakwambia utype hivyo
"VIBOKO" vya CCM vimewapa stress za maisha, wanalewa tu visungura muda wote kama wendawazimu. Kijana mdogo tu sura anaonekana kama Mzee Wasira.Amka kanywe chai ufute wenge😂😂
Fuvu litazikwa leoLazima achagawe. Hapo anatamani arudishe muda nyuma amskilize mtt lkn ndio too late..
Kiufupi kamdhulumu. Kama angekuwa Ulaya hapo ana kesi. Wale hawana maskhara linapokuja suala la mtt kesi kama hizo hawajui kitu kinoitwa bahati mbaya
Mbowe na chadema ndio waliharibu vijana . unakumbuka kipindi Cha kampeni 2015 nani alikuwa anazunguuka na kuwapatia vijana viroba?Aisee vijana wengi wa Arusha wanakunywa sana visungura, serikali ya CCM imeharibu maisha yao kabisa.