Arumeru - Watu watano wauwawa kinyama!

Gracious,
Tumeamuamkuziweka hizo picha ili kusudi kama kuna member yeyote mwenye kumtambua mtu amtambue, cause mpaka sasa hakuna aliyewatambua.
Wale watu waliuawa kwa kunyongwa, hivyo sura zao hazijaharibika kabisa, isipokuwa mmoja kati ya wanne ambaye kamba iliyotumika kumnyonga imeng'ang'ania shingoni ametokwa na damu nyingi puani na mdomoni.
MODS hizi picha tafadhali.Sidhani kama ni sahii kuwa kubandikwa hapa kwa hali hiyo
 
Hata kama itikadi zetu ni tofauti kwa hili lazima Watanzania tuungane kupinga ukatili huu! Hatuwezi kuona roho za wenzetu zikiteketezwa kama kuku! If its not today soon they will pay for this! Hakika hata kaa wakiwaficha hao dhalimu Mungu aliye hai atawadhihirisha mchana kweupe! Time will tell.
R.I.P ndugu zangu wa Arusha mlopoteza maisha yenu!
 
kuna taarifa zinasema watatu kati ya hawa vijana ni wakazi wa sombetini na wameshatambuliwa na ndugu zao, wametambulika kama ni dreva TOYO wa huko sombetini.
 
Mkuu unasahau kwamba hawa hawajatambuliwa, labda watatumbuliwa hapa!

However nakubali kwamba picha za namna hii ni ngumu kidogo, lakini tutafanyaje wakuu, inabidi tuzione ili tujue what this F government is doing.
Kuna tetesi ya kuwa mauwaji hayo yana weza kuhusishwa na vurugu za za juzi za kugombea mashamba.....
Tunaomba uongozi wa jamii forum upige vita kwa nguvu zote huu ujinga wa watu wachache kupiga picha za marehemu na kuzi-upload kwenye hii forum. Huku ni kukiuka haki za binadamu na lazima wote tunalaani vikali wapumbavu wachache wenye ujinga huu. Hizi tabia za namna hii madhara yake yanakwenda mbali na ni ya muda mrefu.

Taarifa kama hii nimezikuta maeneo ya Ilboru jamaa wanazungumza hivyo
kuna taarifa zinasema watatu kati ya hawa vijana ni wakazi wa sombetini na wameshatambuliwa na ndugu zao, wametambulika kama ni dreva TOYO wa huko sombetini.
 
Tunaomba uongozi wa jamii forum upige vita kwa nguvu zote huu ujinga wa watu wachache kupiga picha za marehemu na kuzi-upload kwenye hii forum. Huku ni kukiuka haki za binadamu na lazima wote tunalaani vikali wapumbavu wachache wenye ujinga huu. Hizi tabia za namna hii madhara yake yanakwenda mbali na ni ya muda mrefu.

Madhara yake ni yapi?....halafu koma kuwasemamea wana-JF pumbavu mkubwa wewe unajidai unajua haki za binadamu jitokeze kuzitetea siyo hapa tu JF...
 
Wewe huwezi kuona madhara yake kwa sababu ubongo wako haujazi hata kifuniko cha bia. Na ungekuwa unayajua hata kwa uchache usingezi-upload. Kweli technologia kwenye mikono ya mjinga ni sawa na sumu. Umekimbilia kuziweka ukifikiria utasifiwa na kuambiwa umetenda jambo la maana. Kwenye websites za wenye akili kama cnn na bbc ulishaona ujinga unaoutetea wewe? Unafikiria wao hawana kamera za kupiga picha au hawana ujuzi wa kuziweka?
 
RPC wa Mkoa wa Arusha aliwataka wakazi wa Arusha na mikoa jirani kufika mmt Meru kwenda kuangalia miili ya vijana hao...je alikuwa anaimanisha kwenda kuangalia machungwa? Je ni watu wana namna gani walio paswa kuwaangalia marehemu kama mimi nimewadhalilisha basi serikali itakuwa imefanya nini?...ni heri mimi mwenye akili ambayo haijai hata kifuniko kuliko wewe ulie jaza makamasi huko kichwani....
 
Tunaomba uongozi wa jamii forum upige vita kwa nguvu zote huu ujinga wa watu wachache kupiga picha za marehemu na kuzi-upload kwenye hii forum. Huku ni kukiuka haki za binadamu na lazima wote tunalaani vikali wapumbavu wachache wenye ujinga huu. Hizi tabia za namna hii madhara yake yanakwenda mbali na ni ya muda mrefu.

wewe unashangaza sana,nadhani kama unataka kutetea haki za binadamu ni wewe kwenda kuwasaka wauaji,maana kumtoa roho mwenzako nadhani ndio kukiukwa kwa haki za binadamu,kuweka picha za maiti kuna uhusiano gani na haki za binadamu?
 
Wewe huwezi kuona madhara yake kwa sababu ubongo wako haujazi hata kifuniko cha bia. Na ungekuwa unayajua hata kwa uchache usingezi-upload. Kweli technologia kwenye mikono ya mjinga ni sawa na sumu. Umekimbilia kuziweka ukifikiria utasifiwa na kuambiwa umetenda jambo la maana. Kwenye websites za wenye akili kama cnn na bbc ulishaona ujinga unaoutetea wewe? Unafikiria wao hawana kamera za kupiga picha au hawana ujuzi wa kuziweka?

Mbona wanawekaga lakini wanatoa angalizo. Mimi nilipokuwa mdogo niliwahi ona maiti ya kibaka aliyechomwa moto kwenye Daily News nafikiri sina hakika, cha maana ni kutoa angalizo, disturbing images e.g
 
RPC wa Mkoa wa Arusha aliwataka wakazi wa Arusha na mikoa jirani kufika mmt Meru kwenda kuangalia miili ya vijana hao...je alikuwa anaimanisha kwenda kuangalia machungwa? Je ni watu wana namna gani walio paswa kuwaangalia marehemu kama mimi nimewadhalilisha basi serikali itakuwa imefanya nini?...ni heri mimi mwenye akili ambayo haijai hata kifuniko kuliko wewe ulie jaza makamasi huko kichwani....
Mimi bado nasisitiza umefanya kosa kubwa kabisa kuziweka na unakuwa mkali kwa sababu hujui madhara yake. Na si wewe tu ila hii ni tabia iliyozoeleka Tanzania, watu kuwa na ''hamu'' ya kuangalia picha za graphic kama hizi. Kama kuna shida ya kuwatambua kuna njia za kufanya na sio kupost kwenye internet. Tafadhali jaribu kuulizia ulilimishwe na sio kubisha vitu ambavyo viko wazi.
 
Sina la kusema juu ya CCM kwa sasa maana sasa jimbo la Arumeru mashariki nila CHADEMA na serikali sasa inaongozwa na maono ya chadema
Maendeleo ya CCM ndiyo hayo, Naomba sana Watanzania wa kawaida tunaowatumikia hawa walowezi tusikubali kila tunachoambiwa Kutekeleza.
 
Mimi bado nasisitiza umefanya kosa kubwa kabisa kuziweka na unakuwa mkali kwa sababu hujui madhara yake. Na si wewe tu ila hii ni tabia iliyozoeleka Tanzania, watu kuwa na ''hamu'' ya kuangalia picha za graphic kama hizi. Kama kuna shida ya kuwatambua kuna njia za kufanya na sio kupost kwenye internet. Tafadhali jaribu kuulizia ulilimishwe na sio kubisha vitu ambavyo viko wazi.

Jamaa wangu wewe mchawi!!!! au tahira kama sikosei, jamaa amefanya kitu kuweza kufikisha ujumbe kwa wale ambao hatupo mtaani, alafu wewe kama, vile unaloga watu unamlaumu, kama wewe uwezi angalia marehemu, ngojea usiku wa manane ufike ukawange. ukome kuja kushika nyota zetu!!!
 
Mawazo yako yana-reflect ulivyo na imani za karne kumi zilizopita.... Uchawi... wanga ... kanichukulia nyota yangu.... amka jamaa!
 
Tunaomba uongozi wa jamii forum upige vita kwa nguvu zote huu ujinga wa watu wachache kupiga picha za marehemu na kuzi-upload kwenye hii forum. Huku ni kukiuka haki za binadamu na lazima wote tunalaani vikali wapumbavu wachache wenye ujinga huu. Hizi tabia za namna hii madhara yake yanakwenda mbali na ni ya muda mrefu.

Kama hutaki waonyeshwe je ndiugu zao watawatambuiaje ?
 
Back
Top Bottom