Arumeru - Watu watano wauwawa kinyama!

Arumeru - Watu watano wauwawa kinyama!

Siyo vizuri kuzisemea int media kama cnn na bbc, nijuavyo wao huwa wa kwanza kuonesha picha kwa uhakiki . Hapo ndo tunapata kudhibitisha kuwa osama, qadafi, sadam, qusai, udah na yonas savimbi wamefariki. Tuache ushabiki. Kuonesha picha za mrehemu kama hawa vijana wa arumeru kunasadia kuharakisha utambuzi. Hakuna tatizo.
Inaonekana elimu yako na hao mnaotetea hizi picha kwenye uwanja wa media ni finyu sana. Hivyo hatutaelewana....
 
Inaonekana elimu yako na hao mnaotetea hizi picha kwenye uwanja wa media ni finyu sana. Hivyo hatutaelewana....

Kweli kabisa, hatuwezi kuelewana maana umeoneshwa vielelezo vya picha bado huelewi, wakati unafikiri kuwa wanaokupa vielelezo wanaakiri finyu jipime akiri yako ujue ina kipimo gani,BTW؛‎ unaonesha ni kwa kiwango gani huna akiri.ciao.
 
Back
Top Bottom