Arumeru - Watu watano wauwawa kinyama!

Arumeru - Watu watano wauwawa kinyama!

Huyu mmoja mbona kama ana pingu mkononi? This bongoland bana utadhani tupo torabora.....
 
Huyu mmoja mbona kama ana pingu mkononi? This bongoland bana utadhani tupo torabora.....

Inaonekana alikuwa anawasumbua wanyongaji ndiyo maana wakamfunga na cheni
 
inasikitisha sana, ni vijana wenye nguvu.
R.I.P marehemu.
 
Mi wasiwasi wangu unakuja pale uchaguzi unapokuwa mgumu kwa hawa jamaa wa Magamba basi baada ya matokea vifo hutokea na hususani maiti kuokotwa mfano halisi ilitokea Igunga, labda ningependa kufahamu hao marehemu ni wakazi wa Arumeru? na je walikuwepo baada ya uchaguzi au walipotea? maana hawa jamaa zetu(Magamba) wanatabia ya kuteka vijana kabla ya uchaguzi na baada ya uchaguzi ufanya huo unyama wao - Hayo ni mawazo tu.
 
chekeleni arumeru mashariki ni wapi?mimi nafahamu chekeleni ya moshi tu!
 
so sad , walale na amani bado vijana kabisa na nguvu zao
 
ni Arumeru mashariki wakuu? mbona wote wemenyoa vipara? hapo itakuwa ni maabusu piga ua. kitafutwe chombo huru na polisi wasihusike hapo.
 
Wana bodi mlioko eneo la tukio tupeni update, je waliouwawa ni wananchi wasiokuwa na hatia, majambazi, wafanyakazi wa mashamba ya wawekezaji, wanamagaezi, etc?
 
Thamani ya mwanadamu inaongezeka kwa maisha yenye kiwango cha kukiweka kifo mbali na yeye inavyowezekana. Maendeleo na ustawi wa jamii yeyote kiukweli yanapimwa kwa umri mrefu wa kuishi, huduma ya afya nzuri ya kukiweka kifo mbali na usalama wa raia nk kuzuia kifo na kukiweka mbali kiasi inavyowezekana ...!!

Vifo vikianza kuwa vya kawaida na rahisi rahisi hivi ... vinawaweka pia Viongozi wetu in a death centered life and will never escape this!! AND they should mark my word!!

RIP wafiwa!!!
 
Mi wasiwasi wangu unakuja pale uchaguzi unapokuwa mgumu kwa hawa jamaa wa Magamba basi baada ya matokea vifo hutokea na hususani maiti kuokotwa mfano halisi ilitokea Igunga, labda ningependa kufahamu hao marehemu ni wakazi wa Arumeru? na je walikuwepo baada ya uchaguzi au walipotea? maana hawa jamaa zetu(Magamba) wanatabia ya kuteka vijana kabla ya uchaguzi na baada ya uchaguzi ufanya huo unyama wao - Hayo ni mawazo tu.

Hata mimi wasiwasi wangu ni kwa Magamba! wabaya sana hawa watu, walitaka kuwaua wabunge wa Ilemela na Ukerewe!
 
Inasikitisha!!!

RIP vijana. . .
Pole nyingi kwa wafiwa!
 
Back
Top Bottom