Arumeru Mashariki Ndio Kampeni Zimeanza??

Arumeru Mashariki Ndio Kampeni Zimeanza??

Ndiyo wenye msiba ulitaka wapandishe bendera za ...........
 
chukua chako mapema,chelewa chelewa utakuta mwana sio wako,lazima panapo patikana nafasi lazima zitumike,lakini hii ni ishara yakuwa wanamajonz yakutokwa na mbunge wao,hvyo kupandisha pendera yaweza ikawa ni ishara ya kuomboleza,ila swali linakuja je bendera hzo ni nusu mlingot au zimepandishwa full mlingot kama ni full juwa wako kwenye kampen ila kama siyo basi wanamboleza
 
We ndg yangu acha tu zingepandishwa za CHADEMA pasingetosha wapandishe hd kwenye migomba jimbo liko CHADEMA Tena nawashauri wasijusumbue ku2mia bilion 3 kama Igunga, Arumeru watu niwasomi hawadanganyiki NAWASILISHA

Acha kujipa matumaini ina maana Kinondoni au Ilala hakuna wasomi
 
Tulia wewe! CDM Arumeru hawatatumia nguvu kubwa kama magamba. jimbo linaenda chadema kiulainiiiiiii bila wasiwasi
Acha kujipa matumaini ina maana Kinondoni au Ilala hakuna wasomi
 
Una uhakika na uyasemayo? Ulikuwepo RC aliposhinikiza? Wewe utakuwa ni mmoja wa wale wanaokufa na kufikia kuzikwa midomo ikiwa wazi. Uzushi haupendezi na wala Mola hapendi. Chinga sana!

Na wewe una uhakika na akiliu yako? Rudi mirembe dom ukapimwe. BRAVO CHADEMA.
 
Back
Top Bottom