LIVE from Arumeru-East constituency, Hitimisho la kampeni CCM yaendelea kutikisa mapemaa

Mr Emmy

JF-Expert Member
Mar 12, 2012
1,219
550
Leo arumeru imechangamka kupita kiasi, Wananchi wanoonekana wakiwa na nyuso za furaha na tayari wametupia uzi wao wa kijani na njano kuendelea kuipa support chama kubwa CCM. Katiaka mitaa yoye ya Usa river, Leganga hadi Tengeru ni kijani kitupu huwezi amini kama chadema leo watafanikiwa kukamilisha mikutano yao ya kampeni ktk maeneo hayo.

Wananchi wanajadiliana jinsi watakavyo imaliza chadema kesho na huku wakioneshwa kukoshwa na ujio wa Lowasa katika Jimbo la Arumeru east kama ukombozi wao; kwa kweli hali ni shwari kabisa katika barabaro yote ya Arusha- Moshi ikiwa imepambwa na rangi za kijani na njano du leo CCM kufunika mbaya mitaa ya Leganga, USA River na Leganga ingawa haitafanya mikutano katika maeneo yao but kunauwezakano wa ze next nevel...... kupita kusalimia wananchi katika gari lawazi baadae mchana wa leo stay tuned. Aidha kunadalili zinaonesha kuwa mida ya mchana mitaa ya usa river na leganga itakuwa tupu kabisa kwani maelfu ya watu watahudhuria mkutano wa CCM utakaofanyika King'ori

Mkutano wa funga kazi King'ori
Maandalizi ya mkutano mkubwa katika mji ambao Chadema wataambulia patupu yanaendelea kufanyika toka saa 12 Alfariji na tayari zaidi ya watu 10,000 wameshaanza kusogea katika eneo la tukio asubuhii. Mkutano huu utavunja rekodi ya mahudhurio na kuweka historia kwani utaahudhuria na maelfu ya watu.
Habari zote zitatupiwa hapa hapa na kikosi mabadiliko ndani ya Chama kiongozwa na comrade Mr emmy stay tuned CCM ni zaidi ya uijuavyo ni zaidi ya neno mkakati, ushindi lazima Arumeru East keshoooo.

tarehe kumi tutakuwa dodoma tukishuhudia sioi akiapishwa . sipati picha wa CDM watakavyoshikwa na aibu.
 
Hakika nawaambieni ushindi wa CCM arumeru ni mweupee na Dodoma tayari chama kimeanzaa kuandaa tukio hilo kuu la kuidondosha rasmi chadema
tarehe kumi tutakuwa dodoma tukishuhudia sioi akiapishwa . sipati picha wa CDM watakavyoshikwa na aibu.
 
Kula ccm, kura cdm...ndiyo motto kila mahali huku Arumeru!
pilau la ccm.jpg
 
.....Mkutano huu utavunja rekodi ya mahudhurio na kuweka historia kwani utaahudhuria na maelfu ya watu.
.....CCM ni zaidi ya uijuavyo ni zaidi ya neno mkakati, ushindi lazima Arumeru East keshoooo.

Maneno nilibold yamebeba maana nzito sana kwa watu weledi katika tasnia ya siasa. Kila aina ya uchafu umefichwa ndani ya maneno hayo. Kila la kheri katika mkutano wenu lakini huwezi kujidanganya nafsi yako hiyo ni silka. Naamini watu wa CCM hawazidanganyi nafsi zao bali za wengine kwa kuziaminisha ukweli ambao kwao ni uongo.

Ona sera za CCM!!!!!!!!!
Nipigeeeeeeee Nisipigeeeeeeee??????????????? ?????
Pigaaaaaaaaaaaa
Bendera ya CCM ina rangi ganiiiiiiiiiiiiii????????????? ??
Kijaniiiiiiiiiiiiii.
Ukipanda mahindi yanaota rangi ganiiiiiiiiiiiii???????????
Kijaniiiiiiiiiiiiii.
Ukipanda mpunga unaota rangi ganiiiiiiiiiiiiii???????????
Kijaniiiiiiiiiiiiiiii
Migomba yote ina rangi ganiiiiiiiiiii?????????????
Kijaniiiiiiiii.
Piga makofi na vigelegele kwa Chama cha Mapinduzi.
CCM Oyeeeeeeeeeeeeeeee.
Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Hakika nawaambieni ushindi wa CCM arumeru ni mweupee na Dodoma tayari chama kimeanzaa kuandaa tukio hilo kuu la kuidondosha rasmi chadema

Hizo ni propaganda kwanza inawezekana haupo Arumeru ila Nape anahesabu kama umefikisha idadi ya post sizizo pungua 100 kwa siku ili ulipwe. Nadhani hauko mbali utakuwa umeshafikisha 30, ukivuka 100 umevuka malengo hivyo ujira unaongezeka. Kazana baba kazana.

Ona sera za CCM!!!!!!!!!
Nipigeeeeeeee Nisipigeeeeeeee??????????????? ?????
Pigaaaaaaaaaaaa
Bendera ya CCM ina rangi ganiiiiiiiiiiiiii????????????? ??
Kijaniiiiiiiiiiiiii.
Ukipanda mahindi yanaota rangi ganiiiiiiiiiiiii???????????
Kijaniiiiiiiiiiiiii.
Ukipanda mpunga unaota rangi ganiiiiiiiiiiiiii???????????
Kijaniiiiiiiiiiiiiiii
Migomba yote ina rangi ganiiiiiiiiiii?????????????
Kijaniiiiiiiii.
Piga makofi na vigelegele kwa Chama cha Mapinduzi.
CCM Oyeeeeeeeeeeeeeeee.
Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
leteni picha basi ninyi MAGAMBA, MNAONGEA TUUU KAMA MMECHANGANYIKIWA!
 
Zaidi ya watu 10,000 saa 12 alfajiri? Mr emmy hao watu ni jamii ya Prof Maji marefu (majini)? au wameru walionyang'anywa mashamba?

Soma vizuri, "toka" 12 alfajiri. Mbona hilo neno "toka" umeliruka?
 
Acha kudanganya watu ambao hawako Meru. Maeneo uliyoyataja ya Tengeru, Leganga, Usa River kwamba yametawaliwa na kijani/ njano labda ni za migomba na miti na si watu wametupia hizo uzi. Kama mmeshikwa pabaya si mkubali tu kwani ndo siasa hiyo. Mi nakaa Meru na nimetokea Majani ya chai kuja A-town (Km unatoka M/chai kwenda A-town lazima upite Usa, Leganga na Tengeru) na sijaona hizo mbwembe za ccm zaidi ya za Chadema. Naomba uwadanganye walioko nje ya Arumeru East na si sisi tulioko ndani. Leo usiku baada ya hitimisho lenu najua mtaondoka kimyakimya tu bila kuaga kwa sababu mnajua aibu mtakayovuna kesho.
 
Hakika, hakika kesho nne usiku mbowe na kikosi chake watakimbia Meru, wana Meru watawatenda kitu ambacho hawatakisahau kitika maisha yao ya Siasa na hapa JF kesho usku wafuasi wote wa chadema watalala mapemaa na kutuacha vijana wa mikakati tukipongezana kwa ushindi
Maneno nilibold yamebeba maana nzito sana kwa watu weledi katika tasnia ya siasa. Kila aina ya uchafu umefichwa ndani ya maneno hayo. Kila la kheri katika mkutano wenu lakini huwezi kujidanganya nafsi yako hiyo ni silka. Naamini watu wa CCM hawazidanganyi nafsi zao bali za wengine kwa kuziaminisha ukweli ambao kwao ni uongo.

Ona sera za CCM!!!!!!!!!
Nipigeeeeeeee Nisipigeeeeeeee??????????????? ?????
Pigaaaaaaaaaaaa
Bendera ya CCM ina rangi ganiiiiiiiiiiiiii????????????? ??
Kijaniiiiiiiiiiiiii.
Ukipanda mahindi yanaota rangi ganiiiiiiiiiiiii???????????
Kijaniiiiiiiiiiiiii.
Ukipanda mpunga unaota rangi ganiiiiiiiiiiiiii???????????
Kijaniiiiiiiiiiiiiiii
Migomba yote ina rangi ganiiiiiiiiiii?????????????
Kijaniiiiiiiii.
Piga makofi na vigelegele kwa Chama cha Mapinduzi.
CCM Oyeeeeeeeeeeeeeeee.
Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
CCM kweli ni wavivu mmmmmmmmhhhhh au mnaogopa kuzomewa? kwa nini mmeamua kufanya mkutano mmoja tu leo? mnavuna mlichopanda kwa miaka 50 ya uhuru. mkome kudanganya wa2 kuwa nyie ndo mnaleta amani wakati nyinyi ndo wavunjivu wa amani iliyowekwa na Mungu hapa Tanzania. chadema leo ni zoa zoa. na ole wenu kama mngefanya kamkutano kenu karibu na maeneo ya mji. Tungezoa hadi makada wenu wa nec wasikilize sera makini.
 
Picha zitaletwa, wacha munkar. Ngojeni pigo takatifu, pigo lililonyooka!

Mnajiuza so cheap ndugu zangu, siku itafika tu kila kitu kitakuwa sawa, ccm haiwezi kutawala milele. mtadanganya mpaka uogngo utaisha na hapo ndo mtaamka.
endeleeni na mipasho yenu ya taarab.
 
Leo arumeru imechangamka kupita kiasi, Wananchi wanoonekana wakiwa na nyuso za furaha na tayari wametupia uzi wao wa kijani na njano kuendelea kuipa support chama kubwa CCM. Katiaka mitaa yoye ya Usa river, Leganga hadi Tengeru ni kijani kitupu huwezi amini kama chadema leo watafanikiwa kukamilisha mikutano yao ya kampeni ktk maeneo hayo.

Wananchi wanajadiliana jinsi watakavyo imaliza chadema kesho na huku wakioneshwa kukoshwa na ujio wa Lowasa katika Jimbo la Arumeru east kama ukombozi wao; kwa kweli hali ni shwari kabisa katika barabaro yote ya Arusha- Moshi ikiwa imepambwa na rangi za kijani na njano du leo CCM kufunika mbaya mitaa ya Leganga, USA River na Leganga ingawa haitafanya mikutano katika maeneo yao but kunauwezakano wa ze next nevel...... kupita kusalimia wananchi katika gari lawazi baadae mchana wa leo stay tuned. Aidha kunadalili zinaonesha kuwa mida ya mchana mitaa ya usa river na leganga itakuwa tupu kabisa kwani maelfu ya watu watahudhuria mkutano wa CCM utakaofanyika King'ori

Mkutano wa funga kazi King'ori
Maandalizi ya mkutano mkubwa katika mji ambao Chadema wataambulia patupu yanaendelea kufanyika toka saa 12 Alfariji na tayari zaidi ya watu 10,000 wameshaanza kusogea katika eneo la tukio asubuhii. Mkutano huu utavunja rekodi ya mahudhurio na kuweka historia kwani utaahudhuria na maelfu ya watu.
Habari zote zitatupiwa hapa hapa na kikosi mabadiliko ndani ya Chama kiongozwa na comrade Mr emmy stay tuned CCM ni zaidi ya uijuavyo ni zaidi ya neno mkakati, ushindi lazima Arumeru East keshoooo.

[/QU Naamini Hon. Lowassa ndiye kabadilisha upepo kutoka CDM up to Siyoi otherwise CCM ingeangukia pua!
 
...ingawa haitafanya mikutano katika maeneo yao but kuna uwezakano wa ze next nevel...... kupita kusalimia wananchi katika gari lawazi baadae mchana wa leo stay tuned. Aidha kuna dalili zinaonesha kuwa mida ya mchana mitaa ya usa river na leganga itakuwa tupu kabisa kwani maelfu ya watu watahudhuria mkutano wa CCM utakaofanyika King'ori

... Mkutano huu
utavunja rekodi ya mahudhurio na kuweka historia kwani utaahudhuria na maelfu ya watu.
Habari zote
zitatupiwa hapa hapa na kikosi mabadiliko ndani ya Chama kiongozwa na comrade Mr emmy
Sehemu za kaskazini kutakua na mvua za hapa na pale na vipindi virefu vya jua. Sehemu za nyanda za juu
kusini, sehemu za magharibi na sehemu za Ziwa Victoria zitakuwa na mvua itakayoambatana na radi. Upepo wa pwani utavuma kwa kasi ya kilometa 42 kwa saa. Jua litachomoza Mtwara saa 12.25 asubuhi na kuzama Kigoma saa 1.11 jioni ...
 
Back
Top Bottom