Arsenal Vs Bayern Munich. Tutabiri

Arsenal Vs Bayern Munich. Tutabiri

Ball Possession
Arsenal 35 - Bayern 65.

Bayern Munich are overrated, wameanza kutawala uwanja baada ya red card. Arsenal wasiporuhusu goal nyingi leo wana nafasi ya kubadili matokeo kwenye match ya marudiano
 
Bayern wanakabia kwa juu ili kuwaziba Arsenal wasiweze kupanda na kufanya mashambulizi ktk lango lao. Mabao bado no Moja kwa Bila. Bayern anaongoza.
 
Pamoja na kutu dominate I'm not impressed na Bayern wapo slow(build up) tungekuwa na attacking na midfield nzuri kama mwanzoni mwa ligi (Walcott speed) tungeweza kupata goli hapa.
 
Ndio maana Guardiola aliichagua Bayern, akazikacha Chelsea na Man City.
 
mambo gani haya mpira kuchezwa nusu uwanja? wenger leo asipooga maji baridi bas atayeyuka kwa joto
 
Back
Top Bottom