Arsenal Vs Bayern Munich. Tutabiri

Arsenal Vs Bayern Munich. Tutabiri

Naona Bayern wanajaribu kutumia Strategy ya Barca kwenye kufunga.
 
Yaani hizi Team za England sijui zina nini!!!!!
 
Arsenal kabanwa kila Kona hana pakushika wanafanya kupunguza idadi tu magoli ila kufungwa ni lazima
 
Laiti Robben asingekuwa mchoyo yaani angempa mwenzie aliekwenye nafasi nzuri basi sasa hivi tungekuwa tunasoma 2 bila.
 
Back
Top Bottom