kupaki Basi kuta wa-cost Arsenal; ili takiwa washambulie walau wapate gali la kufutia machozi kama si kusawazisha.mambo gani haya mpira kuchezwa nusu uwanja? wenger leo asipooga maji baridi bas atayeyuka kwa joto
duuuh hii gemu ni kama bayern anacheza na Manyema
duuuh hii gemu ni kama bayern anacheza na Manyema
haya jamani nawatakia usiku mwema.mr anagomba ngoja nikalale mtanipa matokeo
arsenal msife moyo mkienda kwao mtapata 3-0
kupaki Basi kuta wa-cost Arsenal; ili takiwa washambulie walau wapate gali la kufutia machozi kama si kusawazisha.
Wamefurahi sana, haya bana
Mara ya mwisho mlichukua lini CL?