Arsenal Vs Bayern Munich. Tutabiri

Arsenal Vs Bayern Munich. Tutabiri

Hii kadi nyekundu itawagharimu Arsenal kibaya zaidi imetoka mapema.
 
Bayern Munich kelele za mashabiki wa Asernal uwanjani zinawachanganya, hawaoni lango.

hahaha umeona ee yaan wanapna mbilinbili halafu.walivokosa penalt wamepanic mbaya na tutawafunga
 
mkuu subiri muda si mrefu watanyamazishwa
Striker wa Bayern wanashindwa kutumia nafasi wanazozipata au wanasubiri kipindi cha pili!!!!! Kama mwendo ndo huu Asernal wakitulia pale mbele wanaweza kuambulia
 
haya mikakati mipya itakuja second half tusubiri
 
LOL tunaomba tuone birth certificate ya Arjen Robben... Jamaa atakuwa ana miaka 70...
 
Striker wa Bayern wanashindwa kutumia nafasi wanazozipata au wanasubiri kipindi cha pili!!!!!
So far AssAnal wamecheza vizuri lakini red card itawa-cost. Guardiola ni mzuri wa kufanya adjustments. Sasa hivi wataanza kuvuna magoli
 
Mechi za jana zote zilikuwa na red cards. Leo mpaka sasa moja tayari.
 
So far AssAnal wamecheza vizuri lakini red card itawa-cost. Guardiola ni mzuri wa kufanya adjustments. Sasa hivi wataanza kuvuna magoli
nahisi kuna RedCard nyingine itatokea kwa upande wa Bayern hapo sasa Arsenal itabidi wachangamke.
 
naomba kuuliza jamani ile direct card alopata kipa amestahili? au angepewa njano?
 
Kipindi cha pili hawa Bayern watakuja moto. Watatumia advantage ya wingi wao, Arsenal tunahitaji kuwa focus 200% COYG
 
naomba kuuliza jamani ile direct card alopata kipa amestahili? au angepewa njano?

Kwangu mimi amestahili kwa kuwa amemtibulia mchezaji wa mwisho alipotaka kufunga.
Pia nilikuwa nasikiiza wachambuzi wamesema ni sahihi kabisa.
 
naomba kuuliza jamani ile direct card alopata kipa amestahili? au angepewa njano?

Alistahili Mkuu. Advantage ya yeye kuupata ule mpira kwa style aliyoingilia ilikuwa ni ngumu sana na ndio maana akamtegeshea mguu Robben.
 
Maji ya shingo! Wanataka wapate ata draw tu Gunerzzz
 
Back
Top Bottom