Tafuta hela kwa njia nyingine
W
we nae wale wale
Mh, toka lini
Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
Leo kufungwa na bayern unawakana wenzako?
Msife moyo mechi ya marudiano mtawafunga kwao
Ila hongera naona umejitutumua kutoka motorola mpaka ......
ata bila Frank Ribery; Arsenal hawana ubavu wa kufuruka kwenye haya mashindano msimu huu.Na mechi ya marudiano Frank Riberry atakuwepo
ata bila Frank Ribery; Arsenal hawana ubavu wa kufuruka kwenye haya mashindano msimu huu.