Ushindani watosha zaidi ya historia
kitendo cha Bayern kupata goli la ugenini ni kabaya zaidi kwa Arsenal ata afanyeje UJERUMAN achomoki.Sidhani kama Arsenal anawachezaji ambao atawaruhusu wapande pamoja na kushuka pamoja. Imempasa akae langoni mwake ili asipate matokeo mabaya zaidi.
hali halisi ni ipi hii game to loose or win,hata sisi tunajiaminiPoleni Arsenal ndio Hali halisi!
Mara ya mwisho mlichukua lini CL?
Sawa mkuu. Lakini mtaishia kunawa tu kila mwaka
Its over for Arsenal.
Mtaliwa nyie mlio na chuki bonafsi Arsenal sio chama cha siasa ndo tuhame timu
Ndio maana Guardiola aliichagua Bayern, akazikacha Chelsea na Man City.
Thank you Thomas Muller