juve2012
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 3,343
- 2,040
Dah!leo huku uswazi ni shwaari hamna ile milipuko ya shangwe nyakati za usiku,ngoja tulale kwa raha zetu!poleni sana,yaani mlijipa moyo mtaifunga Bayern,hivi ukimuona sungura anafurukuta chini ya miguu ya kitimoto ujue anapigana au anakanyagwa?