Arsenal (The Gunners) | Special Thread

japo kuna vitu 3 navioa vinaweza kutokea

1 2016 ucl final repeating * real Madrid vs Atletico Madrid *

2 psg having a clear passage to the final hopeful its going
to be a nice farewell for mbappe aimed departure from psg to
los Blancos ( madrid)

3 possible revenge to occur between arsenal v bayern (10-2)
and madrid v city (5-2) hii nikutokana na vipigo ama
demolition humiliation .
walivo vipitia kutoka kwa hao mahasimu wao
 
Watu wanashindwa kuelewa sijui wengine ni wabishi tu au ni kwa sababu ya upinzani dhidi ya Arsenal, ila ukiangalia Arsenal hii ni tofauti na Arsenal ile iliyofungwa kwa aggregate ya 10-2. Hali kadhalika Bayern hii sio sawa na ile iliyoshinda kwa aggregate ya 10-2.

Hii ni Arsenal ya makombe, na kila goti litapigwa.
Snapinsta.app_431873035_18430213684057982_5562231955446825130_n_1080.jpg
 
Wacha nikuambie kitu mkuu...PSG hatafika Final..it's either Barca au Atletico...wale Atletico Wana mpira wa nguvu na vurugu kama Porto... Dortmund hatakaa avune kitu na ule mpira wao...ikitokea PSG kapita vs Barcelona basi huo ndo mwsho wao...hawawezi kuwatoa Atletico...ila Barcelona akipita akakutana na Atletico...basi Barcelona ana nafasi kubwa ya kwnda Final
japo kuna vitu 3 navioa vinaweza kutokea

1 2016 final repeating * real Madrid vs Atletico Madrid *

2 psg having a clear passage to the final hopeful its going to be a
nice farewell for mbappe aimed departure from pag to los
blancos

3 possible revenge to occur between arsenal v bayern (10-2) and
madrid v city (5-2) hii nikutokana na vipigo ama
demolition humiliation .
walivo vipitia kutoka kwa hao mahasimu wao
 
Wacha nikuambie kitu mkuu...PSG hatafika Final..it's either Barca au Atletico...wale Atletico Wana mpira wa nguvu na vurugu kama Porto... Dortmund hatakaa avune kitu na ule mpira wao...ikitokea PSG kapita vs Barcelona basi huo ndo mwsho wao...hawawezi kuwatoa Atletico...ila Barcelona akipita akakutana na Atletico...basi Barcelona ana nafasi kubwa ya kwnda Final
Atletico anafungika tena mengi tu akikutana na genius coach wa ku break their Defensively park bus formation system coaches kama pep arteta luis Enrique wanaweza msumbua diego chollo
 
Hii arsenal naionaga kama vile yanga interm of progress

1. wote wamepewa hard opponents in champion league level but they are confident enough to process
namaanisha yanga v mamelod
arsenal v bayern

2 wote ni vinala kwenye league zao respectively na wanaongoza kwa magoli mengi pia kwakuwafunga league opponent 5g goals in different matches.

3 they somehow ( yanga / arsenal) have some beautiful matching play style ( pira biriyani)

4 lastly kati ya mmoja hapo anaweza ishangaza dunia either yanga aishangaze africa in the caf knockout stage
au arsenal ashangaze dunia kwakumtoa bayern mwenye historia naye isiyo kuwa nzuri refer previous 10-2 aggregate match

football is full of joy to watch and we all waiting to be fascinated with the upcoming fixtures
Ni kweli siipendi Arsenali lakini usiifananishe na hayo matakataka ya Tanzania sijui simba sijui Yanga maujinga hayo usiifananishe na timu za Ulaya aisee waombe radhi wana arsenali
 
Back
Top Bottom