Yule Zinchenko defending ndo shida...ile winger Yao ya kule Ina usumbufu sana...sidhani kama ataiwezaHawa porto wanataka mtu wa kuwafungua, hivyo tunamhitaji Jesus nafasi ya Trossard na Zinchenko nafasi ya Kiwior.
Yule kipa anatuudhi sisi arsenal fans ila anafurahisha. Anafanya kazi yake vizuri na kwa kwa utulivu wa hali ya juu.GK wa porto ni wakumfata kwa akili sana.. yeye ,pepe na otávio ndio wana fanya timu ya porto kusogea mbele vizuri.
Zinchenko simkubali sanaYule Zinchenko defending ndo shida...ile winger Yao ya kule Ina usumbufu sana...sidhani kama ataiweza
Iyo team ina Pepe wawili.. Babu na dogoHuyu pepe atakuwa na miaka 45
Huyu pepe atakuwa na miaka 45
Wengi wana talents za kutoka mitaani zinaongezewa ubora tu kule academy.Naziogopa sana timu zilizojaza wachezaji wa kiamerika na ureno.
Zinakuwa na uwezo wa kucheza game plan yeyote ile.