Ni sababu Footbaal kwa kiasi kikuwa is a about Team n n kwa kisia kiogo ndi its about individual player. Mchezaji kama Messi Anafit kuchezea timu fulani za UK Lakini sio zote. Binafsi naona Timu kama chelsea haimfai Messi japo kiwango chake ni kikubwa.
Team Culture ina +ve or -ve effect kwenye perfomce ya mchezaji.
Wenger is Predicatable just peope dont understand his philosophy. Van P ana mwaka mmojj zaidi. Kama akigoma kusain mkataba mpya au akata hela nyingi zaidi wenger anaweza kumuuza kabla mkataba haujaisiha.
One might ask hela nyingi ni zipi. M Arteta nimesoma alikubali pay cut tofauti na aliyokuwa analipwa eveton kuja kuchezea arsenal.
Mi namuelewa wenger sana kuwa footbal ni timu sio mchezaji so wachezaji hawatakiwi kutofautina saaaaaaana. kimapato. Wakali wpo wengi kina Song, Varmaleen