Kufika tu hatua ya 16 bora unapata hela nyingi kuliko hata mshindi wa hilo kombe la Europa!Wakuu vipi??Salkama kabisa huku ndani,poleni sana aisee bora United yupo Europa League vipi humu ndani mwenzangu mpo wapi??
Park, Gervinho, Chamakha na Walcott!
Hawa wachezaji hawastahili kabisa kuvaa uzi wa Arsenal!
Wakuu vipi??Salkama kabisa huku ndani,poleni sana aisee bora United yupo Europa League vipi humu ndani mwenzangu mpo wapi??
Ox alikua. Anachechemea.
Wakuu vipi??Salkama kabisa huku ndani,poleni sana aisee bora United yupo Europa League vipi humu ndani mwenzangu mpo wapi??
Case ya Song ni tofauti na ya Gervinho cuz yeye amekulia Arsenal na tumemuona akiongeza kiwango season after season! Gervinho hatukumnunua ili aje kukua au kuongeza kiwango. Tumemnunua aje kutoa results.zamani watu waliongea same kuhusu song hadi wakataka auzwe ...
I can see samething about gervinho .. anahitaji muda probably next season..
tumekufa kishujaa bana ...
Case ya Song ni tofauti na ya Gervinho cuz yeye amekulia Arsenal na tumemuona akiongeza kiwango season after season! Gervinho hatukumnunua ili aje kukua au kuongeza kiwango. Tumemnunua aje kutoa results.
Hata kwao Ivory coast haitajiki!! I personaly hate him!
Walcott amechezea first team zaidi ya 5 seasons but habadiliki! Wenger kaacha kumnunua Mata instead kanunua garasa Gervinho..can u compare Mata with Gervinho. Park naona bado hana ile team spirit, yupo relaxed sana anapokuwa uwanjani..leo kapoteza mipira zaidi ya 4 wazi wazi!Labda chamakha. Hao wengine hawana consistency tu sio kuwa hawafai. Footaball ni team game sio mchezo wa mtu mmoja mmoja. Au unataka timu kama Manchester city.
Kufa ni kufa tu, hamna cha kishujaa wala kwa uoga, bottom line umekufa.
Jamaa alikuwa anaboa from day one kwenye Afcon, watu walijakuwa na imani naye kidogo baada ya kufunga goli kwenye semi final! But kilichofuata kwenye fainal akaharibu tena!!hahaha mkuu kumbe unachuki binafsi haha uliweka dau lako ivorycost nini... hehe gervinho kiwango utakuja kunambia mkuu time will tell .. mi mataifa ya africa sikua na swager nayo hata game moja sikucheki.. mi na arsenal yangu inanitosha sitaki pressure zaidi
Tukiweza kucheza kama hivi mechi zote zilizobaki kwenye ligi itakuwa poa sana.
nimegundua kwa nini mashabiki wa arsenal wabishi sana kuhama timu...haka katimu kuna wakati kanajua kuwapa moyo mashabiki wake!unaweza dhani its the best team in the world lakini mwisho wa siku ni kuwaachia kilio mashabiki wake!poleni wazee
hahaha WHAT HAPPENED IN SANSIRO REMAINED SAN SIRO the bottom line mtu kalala 3- 0 ndani ya EMIRATES we unaongea nini..? nadhani ma pundits sasa wataiangalia gooners kwa jicho lingine
pundits watasema "kama aseno itaendelea na performance na spirit hii then next season is going to their season" lakin mwisho wa siku mtatolewa kwa kufa kishujaa tena na mtasubiri mapundits kutoa analysis kama hiyo tena