Wakuu ahsanteni sana kwa updates, naona J/pili yetu imekaa vyema leo ni siku ya kupongezana tu na tuondoe negative comments kwa leo vijana wanastahili pongezi Liverpool next wakifuata Milan wembe uleule.
cha msingi abadilike,haiwezekani kila msimu akawa ni trophies pretander,heshima ya club kwa ujumla wake ni vikombe na vikombe huwezi kupata ukiwa na team mbovu, vinginevyo bora aachie ngazi
Mkuu sio ngumu ila timu yetu ina matattizo kwamba inaweza kupiga chandimu cha kufa mtu kama leo na mechi inayofuata tukacheza kama Mtibwa kama tutacheza kama tumecheza leo goli 5 tunaweza kushinda Emirates.