aise Walcott anafanya nini huyu dogo hawezi cheza mpira wa kazi mpira wake ni ule usiniguse
Arsenal waombe mungu lakini Sagna ni uchochoro bado ni mzito ameanza kutoka kitambi TV 5 hawezi cheza kati kwa leo sio mechi ya kumuweka kati
Safari njema wazee
Kwel hapo Mzee kachemka kwa mara nyingne..sijui ndo anaona msimu ushaisha kwake na nafasi ya nne ndo tunaanza kupoteza matumaini.Msimu ujao ni Europe League.
mimi ni mshabiki wa Man utd!hivyo sebuleni kwangu ni ktk uzi wa man u,hapa ktk thread hii ni kama uani!hodi hodi nimewaingilia huku huku uani!oh saha!kituuu!