Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
Kwa kweli sijui akili ya AW inafikiria nini!! Inashangaza timu inaboronga kila siku lakini kang'ang'ania magarasha tu!!
jamani spurs sijui watatufanya nini maana kikosi cha Leo kilikamilika na dozi tukapewa ..
Something is wrong with Arsenal, Liverpool, Chelsea.... is it EPL revolution or players are not hungry anymore?/ even MANURE is not the same team and EPL has no threat to europe anymore
Gervinho sijaona alichokifanya leo, bora angebaki Gabon. Sub ya walcot nayo haikuwa na manufaa. Sikuona kwanini Rosicky aanzie bench.
Wenger msimu wote huu amekuwa ni mtu wa kujaribu wachezaji kwenye mechi za muhimu. Hana uwezo tena wa kuwajengea wachezaji spirit ya ushindi. Hata mchezaji akifanya vibaya anamtetea na next game anampanga! Bora aondoke tu! Nimeshamchoka!
miaka saba bila hata kikombe na kocha bado yuko kibaruani tu,haingii akilini pamoja na kuwa na kocha msomi,mwenye uzoefu wa muda mrefu tu..ni wakati wa yeye (AW) kulinda heshima yake kwenye ulimwengu wa soka na klubu pia..ni bora akastep down mr excuse
full time Sund 2-0 Arsenal.Arsenal out kwenye FA CUP.
Ukweli nimeumia lkn nimefurahi kidogo na furaha yangu itazidi pale endapo ha2weza kuingia kwenye top 4 ili mashabiki wa kule uingereza waumie sana na waweze kushinikiza mafanikio ya klabu kwa ku2mia force hata ikibidi kwa kuingia barabarani.
Poleni Wakuu.
Asante mkuu.
.....
Manure wameshiba, usajili wao wamefanya kwa vile wameona hakuna threat ligi ya nyumbani na imeenda kuwa cost nje.
Hayo maoni yangu mkuu.msimu huu mwenye njaa ndio ataibuka kidedea.