Mkuu umeshakutana na kuongea na Wenger personally ukafahamu kwamba ana kiburi? Au ni maneno ya kusikia na kuambiwa? Wekeni ushabiki uchwara mbali na angalieni anachofanya. msione timu zote na media zinamshambulia mkafikiri ni one of the worst.
ndio,wenger ni one of the worst coz yeye ni miongoni mwa bodi ya timu vilevile yeye ni kocha ambaye anajua wachezaji wazuri ambao wanaweza kuisaidia timu kuchukua vikombe...
Mkuu umeshakutana na kuongea na Wenger personally ukafahamu kwamba ana kiburi? Au ni maneno ya kusikia na kuambiwa? Wekeni ushabiki uchwara mbali na angalieni anachofanya. msione timu zote na media zinamshambulia mkafikiri ni one of the worst.
Wale tumeshawazoea , wanasubiri mpaka goli ndio washangilie wakati wachezaji wanatakiwa wapewe nguvu kuanzia mwanzo mpaka mwisho. Kelele za. Washabiki zinasaidia kumpa nguvu mchezaji.
HAHAHAHAHAHAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA.... Ngoja nikalale mie..... Saa tisa usiku nachek mechi ya kichapo again????? This tym siwezi yasubiri..... Usiku mwema wajamani....