Tatizo letu sisi ni Kocha.............
Siku AW akiondoka Arsenal ndiyo siku ambayo amafanikio yataanza Arsenal.......Zaidi ya hapo itakuwa ni kila kupigania nafasi ya kushiriki CL basi na si kuchukua ubingwa(iwe EPL,FA ama Carling).......
Hatuna timu wala kocha mwenye mawazo ya kuchukua ubingwa....
Mpira unadunda BJ........Vipi tukiwpiga Milan 5-0 Imarati?.......Bado tu utasema baibai?
Kama wao wameweza kutufunga 4-0 kwao kwa nini sisi tushindwe kuwafunga 5-0 kwao?...................Lol!
hahaha....msikose channel 5 kesho kuangalia Europa League...
Poleni sana wakuu wenzangu wa gunners.
Matokeo ya mechi ya jana yanaendana na maandalizi yetu.
Tupeleke nguvu FA CUP. Timu inaendeshwa kibiashara, kocha na viongozi wa juu wote wamejiandaa kwa matokeo haya,ni sisi tu washabiki ndio tunaumia.
Kila la kheri jumamosi. Gooner 4 life
Piga ua garagaza........Mwakani lazima tushiriki UEFA.......Na msipoangalie leo Ajax wanawatoa nishai......Hasa Dada Gea akiwa golini
Wacha hana ubavu wa kuja kupiga kelele zake hapa
Pole kwa kuliwa 5000,Arsenal sio timu ya ku-bet
Tatizo letu sisi ni Kocha.............
Siku AW akiondoka Arsenal ndiyo siku ambayo amafanikio yataanza Arsenal.......Zaidi ya hapo itakuwa ni kila kupigania nafasi ya kushiriki CL basi na si kuchukua ubingwa(iwe EPL,FA ama Carling).......
Hatuna timu wala kocha mwenye mawazo ya kuchukua ubingwa....
Naomba na mie niwasilishe pole zangu kwa kipigo cha jana!
Karibuni europa ligi.