MwafrikaHalisi
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 1,741
- 511
Acha kujifananisha na sisi ,bado tupo Europa Cup,msipo angalia mwakani mtacheza Europa kuanzia mwanzo
Champions league race's all over....dahhh....! kifo cha wengi harusi.
man united, man city, arsenal.....:A S-coffee:
Hajafananisha bana....Alichomaanisha ni kwamba race ya Arsenal kwenye UCL inaishia ukingoni kama ilivyokuwa kwa Man City na Man Utd...Acha kujifananisha na sisi ,bado tupo Europa Cup,msipo angalia mwakani mtacheza Europa kuanzia mwanzo
Hajafananisha bana....Alichomaanisha ni kwamba race ya Arsenal kwenye UCL inaishia ukingoni kama ilivyokuwa kwa Man City na Man Utd...
Btw....Ni kweli hatufanani Belo....Ndo maana sisi tupo UEFA Champions League na ninyi mpo UEFA ya Alhamis a.k.a EUROPA League....
Mwakani tutashiriki UEFA CL kama kawa.........Wenye hatihati ni wale jamaa wa darajani maana kuna tetesi wanataka kumfukuza kocha....
Wewe unashangaa kuchapwa goli 4 wakati wenzio walishawahi kuchapwa 8?! Yawezekana wenzio wameshazoea.
Champions league race's all over....dahhh....! kifo cha wengi harusi.
man united, man city, arsenal.....:A S-coffee:
Bora ukalalae BJ ila isije ika haya matokeo yaka yanaakisi motekeo yenu ya alhamisi. Uzuri na nyie mshatolewa humu la sivyo maumivu yangekuwa mara kumi zaidi
Piga ua garagaza........Mwakani lazima tushiriki UEFA.......Na msipoangalie leo Ajax wanawatoa nishai......Hasa Dada Gea akiwa goliniUna jipa uhakika wa kushiriki wakati nasikia uko juu ya Chelsea alphabetical,sisi mwakani tutarudi kwa nguvu zaidi
Mpira unadunda BJ........Vipi tukiwpiga Milan 5-0 Imarati?.......Bado tu utasema baibai?Aisee usinikumbushie hiyo ya goli 8...mwenyewe timu yangu ilitolewa kitambo..ila Arsenal kushangilia inahitaji moyo, always vibano🙂)
Mbu cheki unavyojifariji..eti kifo cha wengi harusi..
Mlitakiwa mpambane kivyenu...mkishindwaga ndiyo mnatafuta visingizio kama hivyo.
Sahauni kuifunga AC Milan huko kwenu..bai bai CL msimu huu
Sijui kama umeamka wewe mtu kwa kichapo cha jana!..Hayaingiliani na ya alhamisi!..hivi mlidhani mngevuka hapo mlipofika?? mlikuwa na kismati tu mkuu...ha ha
Piga ua garagaza........Mwakani lazima tushiriki UEFA.......Na msipoangalie leo Ajax wanawatoa nishai......Hasa Dada Gea akiwa golini
poleni sana wandugu naona vilabu vya italia vimewaamulia waingereza na bado next week mazishi mengine ya chelski...
Leo mnao Porto........Mtatoka?......poleni sana wandugu naona vilabu vya italia vimewaamulia waingereza na bado next week mazishi mengine ya chelski...
Tatizo letu sisi ni Kocha.............Sisi hatuna mpango wa Europa Cup,Henry ambae alionekana analeta msaada ndio anaondoka naona now Captain wa Russia na Chamakh sasa watapata nafasi zaidi
lolz @ goners..hivi mlitegemea kupata chochote?? rofl
Kumbukeni kuwa AC Milan 1899 ni timu yenye mafanikio zaidi ktk bara la Ulaya (besides Real Madrid).
Ile sio Sandalendi bana.
Sforza Milan!
Thats a pipe dream dude!!
Former Arsenal defender Nigel Winterburn rapped: "The experienced players didn't turn up for the manager and seriously let him down."The players should be disgusted with themselves. Confidence has been shot to pieces."Ex-Gunners skipper Patrick Vieira tweeted: "There was a lack of leadership."Shell-shocked keeper Wojciech Szczesny added: "Milan punished us on every occasion. We were up for it but they were the better team."
Hivi Abuu Diaby yuko wapi??
Acha kujifananisha na sisi ,bado tupo Europa Cup,msipo angalia mwakani mtacheza Europa kuanzia mwanzo
Mbu cheki unavyojifariji..eti kifo cha wengi harusi..
Mlitakiwa mpambane kivyenu...mkishindwaga ndiyo mnatafuta visingizio kama hivyo.
Sahauni kuifunga AC Milan huko kwenu..bai bai CL msimu huu
Sijui kama umeamka wewe mtu kwa kichapo cha jana!..Hayaingiliani na ya alhamisi!..hivi mlidhani mngevuka hapo mlipofika?? mlikuwa na kismati tu mkuu...ha ha
Leo mnao Porto........Mtatoka?......
Pole kwa kuliwa 5000,Arsenal sio timu ya ku-bet