....team haina uhai kwenye wings...i hope, just hopeThe Ox ataingia kuipa team uhai....lakini kwa ninavyomjua gaffer wetu, hachelewi kumuingiza Arshavin!...lol
Makocha wazuri wako wengi siku hizi, kinachohitajika ni uwezo wa kununua wachezaji, hilo wenger bado halitambui as yuko kwenye past paradigm na hawezi ona.
Uwezo wa kununua wachezaji!!!! Footbal ni team game sio player game tu kama tennis mkuu. Unaweza kununua wachezaji wakawa kina Tevez ao roone akigombana na mkewe anamtishia kocha anataka kuhama timu .
Ndio nimesoma sehemu k una Timu kibao zinachunguwa huko UK inawezeana zikawekwa under administration. Sababu ya expediture kuzidi income na mambo ya kodi .
Kumbe na wewe BJ mchokozi . timu unaypendelea wewe ni ipi ? au ilishatolea kwenye hilo kombe zamani ndio maana umepata muda wa kuja kuchokoza lol hahahhha
Niache kuchokoza tena, ha ha..sisi tulishatolewa kitambo na watu walifurahia sana, mie ni Maure damu..! Poleni maana mmeshaongezwa la 3. leo mumseme AW mpaka mchanganyikiwe🙂)
Nyie Arsenal bora nilale mana sioni hata ninachowaangalia. Leo mtaiota hii mechi mpaka muwe na midadi!
Poleni sana watani ila tumeshazoea matokeo yenu..veri easy kutabiria. Alhamisi mkamilishe ratiba, AC wameshapita.