Mr. Bigman
JF-Expert Member
- May 7, 2011
- 2,560
- 1,301
bado naamini gooners tutamaliza top 4
Draw nyingine tena
Hivi tatizo ni nini? Naona wachezaji wetu hawajitumi kabisa. !!hakuna Draw humu kaka.... Koz Nafasi za kushinda tunazipoteza...... So hata kichapo sitashangaaa