....huyu keeper FABIANSKI mwenyewe anajiona ni mbora kuliko wengine wa arsenal kwa sasa,
goli alilofungwa hapa la kona typical magoli anayofungwa yeye, achilia mbali yale ya bloopers kama
za Robert Green...lol
...umeshtukia ee? ARSENAL hii mpaka wapigwe ngumi ya pua na kunusa damu ndio wanachangamka, na mara nyingi hushinda match za aina hii, lakini tukifunga sie mwanzo...utadhani tumelogwa vile...