Arsenal (The Gunners) | Special Thread

dah ..... maumivu yamepoa though bado yapo kwa mbaaaali ....
 
Pole sana, naona Prof Nutty amekuboa mpaka umebadili jina! Lakini naona hilo jina ulilochukua sasa nalo utabadili muda si mrefu Man City wakija kuchukua mchezaji wao atakapokuwa tayari....lol.

Ha ha ha dogo tunampiga bonge la buy-out clause.
 



Labda na hiyo signature yako utoe pia, maana ni kama bado unaamini katika falsafa zake....hahaha!
 



Kilisikika kilio kikubwa kutoka kwa mzee wa kulialia, na kinaendelea kama kawaida!
 
Kweli Wacha kwa mambo NANI aliyomfanyia Djorou alistahili red card,kuna jamaa anasema Djorou alimwekea kibao NANI kimeandikwa "PITA HUKU"
 
Official: Arsene Wenger=Oxlade-Chamberlain
 
Kweli Wacha kwa mambo NANI aliyomfanyia Djorou alistahili red card,kuna jamaa anasema Djorou alimwekea kibao NANI kimeandikwa "PITA HUKU"
HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAAAAAA! Acha vurugu kijana.
 
Me niliwahi kuwaambia wana darisalama wa landani hamieni kwenye basi kubwa kibajaji hicho hamuenei,mnaona sasa mwafa kwa kukosa hewa tehe tehe tehe tehe tehe tehe....
 
Wacha unafiki wewe, umeonekana pale Emirates ukimzomea Wenger kwamba hajui analofanya halafu hapa JF unajifanya kumtetea!!!!
Wacha bana sometimes anakuwa kama member mmoja anaitwa humu JF anaitwa Ritz......


​Sorry kiongozi Wacha kama nimekukwaza....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…