aibu kwa AW kama alifanya kuwaomba Morocco eti acheze mechi ya leo na chaajabu kuonesha kuwa hana umuhimu kwao wakamruhusu. Umeona Yaya Toure, watu wenye umuhmu
Wenger sielewi anambania Chamberlan au vipi? Pia naamini Park mechi za ligi angechezeshwa mpaka leo angekuwa balaa. Hata umfanyishe mtu mazoezi vipi kama umpangi apate kujiamini ni zero