Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Poleni mabingwa watarajiwa, hapa ndipo muone kuwa hamna timu ya kuchukua ubingwa msimu huu. Hizi ndio zilikuwa mechi za kuziba gap wakati walio juu wakichemsha wewe ndio ulitakiwa ufanye kweli. Ndio EPL hiyo!!!!!!!.
Okay,endelea ku-relax hapo juu,we won't do you any harm,forget about us!
 
Thats just soccer being soccer in EPL,almost all the big 4 failed to capitalize.. Timu ndogo zimeimarika yaani suprise packages zimekuwa za kumwaga..

kweli kabisa Mkuu, who expected Manure will be trashed 3-0 by newcastle yesterday.. League ngumu kweli kweli msimu huu. COYG.
 
Kuna msemo wa kiswahili unasema "kisebusebu na kiroho papo". Mnamuuza kumbe roho bado ipo hapo hapo, mlimuuzia nini mnaonekana hamjuia mnachofanya. Mmeona wenzenu man 6, jamaa wanagombana kuhusu bishoo wao kimyaaa hawamuhitaji ndio maana walimuuza.
 
Wacha wivu wewe kwani umeulizwa!
 
ARSENAL midfielder Emmanuel Frimpong has join Wolves on loan deal until the end of the season.
 
[h=1]‘Henry will be in Champions League squad'[/h]By Joe Brewin

Thierry Henry will be part of Arsène Wenger's Champions League squad for Arsenal's last-16 tie against AC Milan next month.

Henry scored 42 goals in Europe in his first spell with the Club and will now be involved again after completing his short-term loan deal on Friday.

Wenger confirmed that the record goalscorer will be eligible to play in the competition this season.

"Yes, he will be [in the squad]," said the Frenchman. "I have given Vito Mannone out on loan to Hull and Thierry will take his place.

"He has good memories of playing in Milan, where he scored three goals against Inter Milan. It is logical [to include him]."

‘Henry will be in Champions League squad’ | News Archive | News | Arsenal.com
 
[h=1]‘Henry will be in Champions League squad’[/h]By Joe Brewin

Thierry Henry will be part of Arsène Wenger’s Champions League squad for Arsenal’s last-16 tie against AC Milan next month.

Henry scored 42 goals in Europe in his first spell with the Club and will now be involved again after completing his short-term loan deal on Friday.

Wenger confirmed that the record goalscorer will be eligible to play in the competition this season.

“Yes, he will be [in the squad],” said the Frenchman. “I have given Vito Mannone out on loan to Hull and Thierry will take his place.

“He has good memories of playing in Milan, where he scored three goals against Inter Milan. It is logical [to include him].”

‘Henry will be in Champions League squad’ | News Archive | News | Arsenal.com
 
Good news...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…