Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Djourou, Chamakh, squlacci, Arshavin >> OUT . mizigo mitupu.
 
Losers!! hahahahahahaaaaa!!!! :blabla: :blabla: :blabla: :blabla:
 
Huwa hainiumu ku-lose kwa sababu ya brown envelopes, wewe unachekelea kwa sababu mmebebwa leo na mfungaji ambaye alikuwa ale red card fairly. Wacha technology ije ndio mtajua zipi ni mbivu.
 
Huwa hainiumu ku-lose kwa sababu ya brown envelopes, wewe unachekelea kwa sababu mmebebwa leo na mfungaji ambaye alikuwa ale red card fairly. Wacha technology ije ndio mtajua zipi ni mbivu.

Acha kulialia dada, hata Song alikuwa apewe red mlipocheza na Wolves, mbona husemi kitu kuhusus hilo. Bad decisions kwenye football zipo na zitaendelea kuwepo hata technology ikija, UKWELI ulio wazi ni kwamba kila timu inapata hizo decisions, tatizo ni pale wengine (soma Wacha1,Wacha na other Arses) wanapolialia/lalamika sana kuliko wenzao.
 
Mkuu umemaliza kila kitu maana mpinzani Wacha yeye kila mechi mkipoteza yeye analalamika mmeonewa au bahasha sasa sijui bado anakumbuka ligi zake za mchangani.

Poleni sana aisee...
 
De Gea umeibuka leo?

Heri ya mwaka mpya.
Nipo naona mkijitahidi kunusa top 4 mnashushwa chini.Kwa hivi vipigo nafikiri makocha wa timu kubwa wanaombea ligi iwe inasimama kipindi cha Dec-Jan
 
Huwa hainiumu ku-lose kwa sababu ya brown envelopes, wewe unachekelea kwa sababu mmebebwa leo na mfungaji ambaye alikuwa ale red card fairly. Wacha technology ije ndio mtajua zipi ni mbivu.
Wacha kulialia hii ni 2012
 
Nakubali tumefungwa tugange yajayo ila ninyi man shit,the blah blahs and totenham sippers wala msiongee kabisa,hapa hofu yangu ni Man united tu.
 
Nakubali tumefungwa tugange yajayo ila ninyi man shit,the blah blahs and totenham sippers wala msiongee kabisa,hapa hofu yangu ni Man united tu.
Poleni mabingwa watarajiwa, hapa ndipo muone kuwa hamna timu ya kuchukua ubingwa msimu huu. Hizi ndio zilikuwa mechi za kuziba gap wakati walio juu wakichemsha wewe ndio ulitakiwa ufanye kweli. Ndio EPL hiyo!!!!!!!.
 
Tutawaazima Dada Gea...kwikwiiii!
 
acha tu mkuu, nilikuwa najua leo tunapunguza gap hadi point 6, kwani najua kesho City kwa liver hatatoka.. We've wasted a golden chance Today.

Thats just soccer being soccer in EPL,almost all the big 4 failed to capitalize.. Timu ndogo zimeimarika yaani suprise packages zimekuwa za kumwaga..
 
WACHA1 akizinduka tu ICU atakuja na visingizio kibao, mara bahasha mara sijui imekuwaje?
 
The good news ..... ...... ..... you're all looking after nunber one team. Safi sana we are the only big club! Ndio chababu hamuishi nyumbani kwenu. Wengine wanachubiri kucheza kila Alhamisi na wengine kudra za mwenyezi mungu ni kubwa, kipofu kaona mwezi chacha mafikiri meerkat anashehereka na wachezaji wake .... .... mhhhhhhh very artificial.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…