Arsenal leo kweli mdebwede!
Sijui hawakulala jana ama ni kitu gani?
Song leo alikuwa anatorokwa almost everytime.
Song asipocheza vizuri Arsenal huwa wako matatani.
Halafu huyu Wenger ni kocha mzuri lakini mbishi kama nini, utadhani anarun business badala ya ku coach.