Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Dakika ya 89.

Magalhaes
Zubimendi
Merino
Hincapie
Noni
Odegaard

Wote ni left footers.

Mid yetu yote ina left footers
 
Yan arsenal ipo ivi, kina mwanitesa united,livakuku, chelshit wakituangalia tunavocheza na tim nyine wanatuona hatuna mpira lakin kila wakipeleka tim zao hazichomoki. Wanaishia kusema arsenal tim yakawaida lakin tukikutana nao matumbo joto
 
Epl ukiangalia kwa juu juu utaona ni ligi rahisi sana.Kwamba utacheza na Coventry utamfunga goli 5.

Hakuna points rahisi EPL, muda wowote unaaibika.Angalia City anavyopata tabu kwa Nottingham.

Ukipata points 3 furahi, songa mbele.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…