AI nazo nyingi siku hizi. Mi siamini kama Keane anaweza kusema hivi zaidi ya hawa wenzetu wa JFJamaa katutemea sana shits
View attachment 3706138
Yaani haijakubali kabisaKuanzisha Bruno na Rice bado haijakubali ila Arteta anajifanya haoni
Angekuwa legend wa timu zingine ningekua namsahaka kidogoAI nazo nyingi siku hizi. Mi siamini kama Keane anaweza kusema hivi zaidi ya hawa wenzetu wa JF
Pona yake Leo tushinde .Kai ni takataka.
Nyafasi ya kutengeneza jina.Madueke siku hizi linaubonda 🔥🔥
Atakufa hata kimojaNasubiri leo mtamlaumu nani hii sare ya Keane ikitiki.
Bila shaka Kai na Madueke ndio mbuzi wenu wa kafala kila mambo yanapoenda kombo
Kweli sisi tunaweza kupata sare.Nasubiri leo mtamlaumu nani hii sare ya Keane ikitiki.
Bila shaka Kai na Madueke ndio mbuzi wenu wa kafala kila mambo yanapoenda kombo
Ngoja tuone ya Merino na brunoKuanzisha Bruno na Rice bado haijakubali ila Arteta anajifanya haoni
Sasa pigeni duaNasubiri leo mtamlaumu nani hii sare ya Keane ikitiki.
Bila shaka Kai na Madueke ndio mbuzi wenu wa kafala kila mambo yanapoenda kombo