Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Brighton wametupiga bingwa mtetezi na wamempiga aliyedai anataka kuchukua kombe msimu huu.

Kesho sasa ndiyo inabidi kuwakomalia Liverpool
 
Illusion ni nyingi sana kichwani mwako champion fan wa england.

Hata man utd ilivyotolewa na Grimbsy ilikua big talk kwa wakati ule na ni kutokana na level zao kama ilivyo kwa Fleetwood.

Angalia hata draw ilivyofanyika big news ilikua jinsi Fleetwood fans, players na staff walivyoshangilia .
Arsenal ni champion of England kwa wakati huu.

Fleetwood walichokionyesha wangekionyesha kwa team yoyote Ile kama ingekuwa champion kwa wakati ule. Arsenal asingekuwa champion wala Fleetwood wasingeshangilia kama walivyoshangilia vile kwenye draw.

Hayo yote uliyoyaona sababu Arsenal ni champion na ingetokea kwa team yoyote Ile kama ingekuwa bingwa .
Lazima media zitataka kusikia feelings za wachezaji wa team ndogo kwa kuwatoa mabingwa wa EPL.
 
Inshu sio kumfunga liverpool, inshu kupata ushindi pale anfield

Mara ya mwisho kupata ushindi anfiel ni 2012, diaby, cazora, mertesacker, suarez, gerrad, skrtel walikua uwanjani (ni muda mrefu sana, miaka 14 iliyopita)

Tunaenda tena anfield tukiwa unga kwenye ushambuliaji, japo sijui kama mazoez ya hivi karibuni yame up grade viwango au la
Upande wa beki tuna majeruhi na tatizo la fitness, japo tuna ukuta bora

Swali, je tuna enda vipi kuchukua zile points 3?
Iwe magoli ya kihuni au tukatandaze soka safi
 
Tutegemee yale mabao ya vichwa
 
Kikosi kimetoka

Uwepo wa Calafiori ambaye mara zote amecheza kama inverted fullback atasaidia kucover eneo la kati. Bruno acheze kibabe mtindo aliouishi Newcastle, unfinished article kama Nyoni sioni akivumilia hilo.

Forward ina pace wings zote ila ST hamna kitu. RW hua ana questionable decision making na kupoteza mipira unnecessarily. Hope kikosi kinajua umuhimu wa hii game so kitastep up.

Liver ina Gakpo na Araujo kama weak links. Wirtz huwezi jua kaamkaje, nafikiri kocha wao ni smart kumuweka Barcola upande wa Calafiori kwakua Barcola atakua anacut in kuufuata mguu dhaifu wa Calafiori. Rice na Tzolis itabidi waassist huu upande.

Other than that, sub zifanywe mapema.
 
Angemuanzisha Gyokeres, kai inaonekana ni mwepesi sana kum-mark
Kinachombeba kai ni mjanja mjanja sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…