Sikuelewi umeandika niniCome again. Nipo hapa. Ila hakikisha mazungumzo yawe yanahusu Dowman and Dowman related "-" vs Bayern. Tusi diverge sana kutoka hapo.
Ila sina agenda yoyote mbaya against our players, iwe Madueke, Eze, Dowman, etc.. just against Bayern.. nipo hapa!
Kama huelewi soma tena. Tayari ushaonesha uelewa wako mdogo.Sikuelewi umeandika nini
Eh mimi uelewa mdogo? I have never understood why hua mnajiona smart kuliko wengineKama huelewi soma tena. Tayari ushaonesha uelewa wako mdogo.
Kuna games nyingi sana za epl, mimi huwa naangalia mara moja tu nasema hiyo ni offside au onside, lakini utashangaa VAR hutumia zaidi ya dakika 1. Its kind of stupiditySasa pale kulikua na offside gani ya kuangalia?
mkuu mm hata usemaje ila kumuweka Dowman over Madueke kwenye lineup, kwangu ni big NO!!, Dowman bado sana man yani BADO SANA.Hujui kitu kwenye hili.
Hujui kitu kwenye hilo.
Okay sawa.
Goli la kwanza tuliscore kwa Eze kutime a run ya mpira mrefu wa Odegaard. Bayern msimu huu wamefungwa magoli ya long ball, counter na breaking play.
Kwa goli la Eze tayari ilimaanisha tumeshaexploit hilo bado kuexploit na hizo angles mbili.
Counter na breaking play huwezi kuifanya na Kai, ni ngumu sana. On paper Madueke ana qualities za kukupa counter na breaking play lakini in practice hafanyi hivyo.
Badala yake Dowman anaweza kufanya hivyo comfortably kuliko Madueke, msimu wa 25/26 kwenye EPL Dowman amecheza mechi 6 na Madueke kacheza mechi 26.
Dowman hua anaingia kumalizia dakika za mwishoni.
Kwenye hizi mechi Madueke ana magoli 3. Dowman ana goli 1, Madueke ana assist 1 Dowman hana assist. Madueke katengeneza nafasi 22, Dowman katengeneza 4.
Kitakwimu, Dowman ni mpiga pasi mzuri kuliko Madueke, Dowman ana 88% za successful passes wakati Madueke ana 76%.
Long balls, iliyotugea goli la kwanza, Dowman ana 100% kwenye kupiga mipira mirefu Madueke ana 55%.
Dowman kutokana na ana tabia ya kwenda mbele na kuingia kwenye boksi huku anaficha mpira kwenye hizi mechi 6 kawa awarded penati 1. Madueke hapa ana 0.
Madueke alivyoingia, Davies akawa anapanda bila uoga, na goli akascore. Madueke akiingia anakufanya uone possibilities nyingi lakini anaweza asiifikie hata moja.
Dowman ana possibilities labda mbili, akiwepo una uhakika kwamba huyu lazima atataka kulifuata boksi na lazima atajaribu kupeleka mpira mbele.
Nilivyoandika personally ni kwakua mimi siyo wewe wala Arteta, mimi niliamini fursa zipo na kwa forwards tulionao Dowman angeweza kuziexploit.
It's fine kutofautiana mawazo. Ukisema hivyo upo sahihi, haya twende tukamalizie game ya chelsea. Palmer kala redmkuu mm hata usemaje ila kumuweka Dowman over Madueke kwenye lineup, kwangu ni big NO!!, Dowman bado sana man yani BADO SANA.
Hivi ni mimi tu, huwa namuelewa jackson. Ana sifa nyimgi napenda striker awe nazo, huyu changamoto yake ni kumalizia akijirekebisha ni striker mzuri tuSpecial thanks should go to this man today!
πππͺποΈ
View attachment 3697671
On behalf of all gooners, THANKS NICOLAS JACKSON!
Mimi naona Tzolis kule LW ni mtu sahihi. Anahitaji challenge tu ili azidi kuimprove.Siku arsenal tukipata winger msumbufu, winger anajua boli dizaini ya luis diaz, sadio mane, kwa LW, kule RW hata level ya mahrez na striker anaejua boli wastani hata kiwango cha defoe.. hii timu itakuwa moto sana gyokeres na mwenzie kai hapana kwa kweli.. hawa kina guirassy wanaweza kutufaa.