Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Binafsi kikosi cha leo nimekielewa sana. Kikosi cha kutupa ushindi mnono
Huyo Skelly sio fulback n inverter namba 6.
 
Hii vita ni kali, sema nini at least mwana gooner mmoja kachoka kuwa ng'ombe kachoka kupelekwa pelekwa, wengine na nyie amkeni sio mnakua kama mazombie.

N.B. Battle liendelee kwa fact, back ground huku tupo tunafatilia.
Unatamani ungekua shabiki wa Arsenal hatutumii chatgpt kujenga hoja
 
Tulichukua points 3 kwa mbinde sana kutoka kwa villa
Man city amedondosha points tatu kirahisi sana kwa villa

Mechi inayofata kwenye ligi, city anakutana na brighton ambapo arsenal alidondosha points 3 kama utani. Itakuaje kuhsu city? Tuache muda utaongea
 
Merino hua anaanza kama sub leo kawa starter, hii itakua technical sana kwakua bado tungeweza weka mid za siku zote.

Merino anahold mpira ila hua anapoteza easily kwenye physical battle ni kama vile hapendelei kua physical na anaprefer kua technical zaidi.

Skelly leo inabidi acheze kama inverted fullback ili ikitokea mid ipo exposed awe karibu kuintercept.

Kule kwenye forward tuna Viktor, Odegaard, Eze na Madueke. Everton hawawezi cheza ng'adu ng'adu wakicheza hivyo pace ya Madueke na Viktor itakua threat.

Pia, Everton wapo kwenye form ya chini kwa sasa na Arsenal tunahitaji ushindi baada ya matokeo ya mchana ya City. We just need to be better mentally leo zaidi ya Everton and then hii show tunaimaliza mapema
 
Siyo wanakutana FA? Baada ya game ya juzi ya Brighton nikawa nataka kujua wanakutana lini na City, nafikiri niliona wanakutana kwanza FA.
 
Ni unaenjoy tu kupinga ila haujui kwanini unapinga? Kushare material na kinega kama wewe ni sawa kwakua injili kwa watu kama wewe lazima itembee
Nimekupa facts nyingi na maelezo ya kutosha.

Wewe sasa in turn umekaa kugeuza maswali yangu mengi, usidhani sijaona ila nimechukulia bado ww ni mdogo kimpira una mengi ya kujifunza.

Point kuu ni kwamba hauna unachojua kuwazidi wengine kwahiyo unapokosea sehemu na ukaelekezwa just admit.. fact ya kwamba ulifikia mpka kujibu matusi shows how insecure you are.
 
Ni unaenjoy tu kupinga ila haujui kwanini unapinga? Kushare material na kinega kama wewe ni sawa kwakua injili kwa watu kama wewe lazima itembee
Wakati mwengine inabidi ujifunze kukaa kimya sio kutaka kuprove point kwenye kila kitu, in fact hauna ujuzi huo ni kubwabwaja tu.
Na unapowaona watu wametulia hawacomment kitu pamoja na ww kuchamba umbea sio kwamba hawajui wanakuchora tu.
Tutaelewana tuu. Keep em coming!
 
Lini hiyo nilikuambia najua kukuzidi?

Tumehama mpira sasa umeanza kujifanya unanijua
 
Am very proud of you. Keep representing huo upande
 
Lini hiyo nilikuambia najua kukuzidi?

Tumehama mpira sasa umeanza kujifanya unanijua
Come again. Nipo hapa. Ila hakikisha mazungumzo yawe yanahusu Dowman and Dowman related "-" vs Bayern. Tusi diverge sana kutoka hapo.

Ila sina agenda yoyote mbaya against our players, iwe Madueke, Eze, Dowman, etc.. just against Bayern.. nipo hapa!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…