Hahahahahaaaaa GT. Sema nyie na nyumbu tofauti ni ndogo sana. Nyumbu walitangulia 2-0. Nyie behind 1-0. Arsenal ikisawazisha kabla half mtashinda hii gemu.Walichofanyiwa nyumbu ndiyo kinatukumba hapa
Hawezi wakashindaHahahahahaaaaa GT. Sema nyie na nyumbu tofauti ni ndogo sana. Nyumbu walitangulia 2-0. Nyie behind 1-0. Arsenal ikisawazisha kabla half mtashinda hii gemu.
Matokeo unayajuaArsenal imenunua Bruno.
United imenunua Tielemans na Santos.
Pundits wakasema msimu huu timu iliyosajili viungo wazuri ni united.
Match week 4 tayari wamemgeuke Tielemans
Nini kinaendelea? Naona tunakandwa tu sijacheki gemWalichofanyiwa nyumbu ndiyo kinatukumba hapa
Zinapigwa pasi nzuri. Hatuwezi kwenda mbele.Nini kinaendelea? Naona tunakandwa tu sijacheki gem
Kwa Brighton sidhani. Hawa Brighton noma wamemfanya hadi Rashford kurudi bongo kutafuta fursa kwenye uchimbaji wa dhahabu.Hii game tukipindua meza, basi arsenal itakua confirmed bingwa
Acha kuongea mpira kahawa ww ubingwa kwa kupindua meza bureeeHii game tukipindua meza, basi arsenal itakua confirmed bingwa